Yajue mambo 7 ambayo hayaruhusiwi North Korea kwa kipanki

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
1474376364369.jpg
1. North Korea ni kinyume na sheria kusoma biblia au quraan, na atakayefumwa akisoma vitabu hivyo vitakatifu adhabu yake ni kifo.

2. Hayaruhusiwi maongezi ya kawaida, baina ya mwanaume na mwanamke ambaye huna mahusiano naye, maongezi yanayoruhusiwa ni ya kikazi au kimasomo tu.

3. North Korea kuna sheria maalum za jinsi ya unyoaji na kuna hair style sita tu ambazo mwanaume au wanawake wanatakiwa waweke nywele zao, vinginevyo ni makosa.

4. Ni kinyume na sheria kutumia mtandao wa internet bila sababu ya msingi, wanaoruhusiwa ni wale walioruhusiwa na serikali kwa kazi muhimu tu.

5. North Korea ni kinyume cha sheria kuangalia filamu za ponografi, au kuangalia filamu za Korea ya Kusini na zile za nchi za Mangaribi, wanaobainika hupewa adhabu ya kupigwa risasi hadharani hadi kufa.

6. Haruhusiwi mtu yeyote kusikiliza nyimbo tofauti na za taifa, miziki au nyimbo zilizoruhusiwa ni nyimbo za taifa tu.

7. Ni kinyume na sheria kwa mtu yeyote kusafiri nje ya nchi bila sababu maalum, wanaofanya hivyo huonekana kuwa ni wasaliti, na wanaobainika adhabu yao huwa ni kifo.

Mhhh! Wakuu kwa wale tunaosema Tanzania tuna udikteta flani mhhhh ni kweli, lakini kuna madikteta duniani asee!
 
Kwamujibu wa watafiti ni kwamba kinachimwogopesha mmarekani kumvamianorth korea ni uwezo wake mkubwa wa nyuklia aliouonyesha .....
 
Bado Siku hazijafika kipanki wamarekani watampiga.
Tokea 1994 mbona hajampiga mpaka Leo???USA hawezi kumpiga mpk Russia,China waweke vote ya yes halafu China ndio anamlinda NK ndio maana USA anaishia kumuwekea vikwazo ,ili NK apotee ni mpk China atakapompotezea NK
 
Ndio maana nimesema bado siku yake mpaka hayo yatimie.
 
Tokea 1994 mbona hajampiga mpaka Leo???USA hawezi kumpiga mpk Russia,China waweke vote ya yes halafu China ndio anamlinda NK ndio maana USA anaishia kumuwekea vikwazo ,ili NK apotee ni mpk China atakapompotezea NK

Kwani Uchina kuna nini cha kumzuia Marekani?
 
China&NK wapo. Karibu kwahyo hatotaka wakimbizi waingie kwake wengi.k

Kiongozi wa ukomunisti wa China alisema Uhusiano wao na NK ni kama meno na ulimi,ni kaka yke

China ana upinzani na USA na saizi wana uhasama kuhusu bahari na kisiwa ,NK ikipotea itakuwa ushindi kwa USA hvy China lzm ataweka kikwazo

Na kingine China&urusi lzm washirikishwe ndio maana kwenye baraza la usalama LA UN ,urusi&China wametaka njia za kidiplomasia zifanywe na siyo vinginevyo ndio maana USA anaishia kumuwekea vikwazo vingi lkn China kwenye boda yke na NK ameweka bomba la kupitisha mafuta na anampelekea chakula NK,USA walitaka China waweke kikwazo kwa vitu hvy lkn wamekataa

Pia ushiriki wa majeshi wa pamoja kati ya s.Korea&USA pia yanamtisha China.

China pia ni superpower kwahy lzm ashirikishwe ukizingatia wapo karibu na madhara ataweza pata ,kama akikataa ,USA hawezi hatoweza kumvamia NK ,

Ndio maana Trump alisema China ndio wanamlea NK ,ili NK adhibitiwe China aache kumlea
 
Hayo yote uliyoyasema wasiwasi ni kwa Uchina, Rusia na NK kisa watapoteza...unazungumzia USA hii yenye Military base kila pembe? au unazungumzia Rusia hii isiyokua na Military base? Kumbuka kauli za kibishi za Putin na wa NK siyo kua ndo ujue kua wanaweza vita.

Unajua kua Rusia wanatoa wanajensi nyumbani kwenda vitani uko Syria wakati USA wanatumia Military base?
 
USA hawezi kuanzisha vita na haya mataifa makubwa ataishia kuwa na vita baridi na urusi na ataishia kushindana kiuchumi na uchina..

Kuhusu vita USA hatoweza kukubali ww3 itokee sababu madhara makubwa yatatokea sababu hz nchi zote silaha angamizi wanazo na ndio maana wamesaini mkataba wa makubaliano ya kuchunguzana NK NK NK

Kuhusu vita wataishia kuwa na vita baridi tu chukulia mfano ishu ya Syria Putin alivyomfanyia kiburi USA ,USA anaishia kulalamika na kulaumu tu
 
Back
Top Bottom