Nilikuwa naangalia analysts wakionyesha vikundi vyote vilivyo kwenye mapambano huko Syria. Kwa namna hii ISIS anaweza akafutwa ila ikaibuka upya vita kati ya Turkey na Kurds, Syria na Al-Nusra...
Sakata la Dominique Strauss-Kahn laibua upya skendo za wanadiplomasia wa Tanzania
2011-05-18 WikiLeaks Notes: Diplomatic Sexual Abuse a la Strauss-Kahn
FROM THE CABLES/GITMO FILES
Dominique...
Italy ina eneo la kilomita 301,338.
Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima.
Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668
Italy pia ni ya 12 kwa uchumi...
Watu wenye silaha wameshambulia kambi ya jeshi eneo la Kashmir na kuua wanajeshi 17 na kujeruhi wengine 19.
Watu hao wenye silaha walikuwa wanne.
=========================
Terrorists have killed...
Jenerali wa jeshi la Somalia Mohamed Jimale Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki dunia katika shambulio la kujitoa mhanga linalosadikiwa kufanywa na waasi wa kikundi cha Al-Shaabab...
Takribani watu 15 wamefariki katika ajali ya boti iliyokuwa imebeba watu 150 katika mto mmoja nchini Thailand
=======
Bangkok, Thailand (CNN)At least 15 people died after a boat carrying about...
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya...
Mbunge mmoja nchini Uholanzi amegoma kumpa mkono Waziri Mkuu wa israel Benjamin Netanyahu kama ishara ya kupinga mateso ya wapalestina mashariki ya kati.
Netanyahu yuko Nchini Uholanzi kwenye...
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametangaza kwamba Mother Teresa atafanywa mtakatifu Septemba mwaka huu.
Sherehe ya kumtawaza kuwa mtakatifu itafanyika tarehe 4 Septemba.
Njia ya...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameomba msamaha kwa kutoa hotuba inayofanana kila neno na ya Obama aliyotoa baada ya kushinda uchaguzi mwaka 2008.
Baadhi ya setensi zilikuwa zinafanana kila kitu...
Army uses helicopters to evacuate 20 soldiers injured in the dawn attack followed by hours-long gunfight
The soldiers’ deaths follows more than two months of clashes between protestors and...
Watu wanne wamefariki na wengi kujeruhiwa kufuatia basi walilokuwa wamepanda wachezaji wa timu ya soka ya South Carolina kupata ajali baada ya basi lao kupasuka tairi.
Baada ya kupasuka tairi...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kituo cha televisheni cha serikali ya N. Korea , KRT, kinasema mafuriko hayo yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kuwa yaliwahi kulikumba taifa hilo...
Taasisi ya KUpambana na Rushwa nchini Nigeria imezifunga akaunti za Mke wa Rais mstaafu wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Akaunti hizo zilikuwa na kiasi cha shilingi bilioni 64, mke huyo wa Rais...
On the night of February 17, a United Nations base in Malakal, South Sudan, sheltering about 47,000 displaced persons, was engulfed in violence that left at least 30 people dead and much of the...
Ukuda walioifanyia Russia sasa unaelekea ukingoni kwani database Yao wanaume WA kazi wameshaidukua Na wameahidi kumwaga ugali kwa fujo kwani hao the so called World Anti Doping Agency (WADA)...
Takribani watu 25 wameuawa baada ya kutokea shambulio la kujitoa mhanga katika msikiti mmoja.
Mlipuko huo ulitokea katika mkusanyiko wa swala ya ijumaa katika kijiji cha Payee Khan wilaya ya...
BEIJING - In an otherwise nondescript conference room, Wu Jianping stands before a giant wall of frosted glass. He toggles a switch and the glass becomes transparent, looking down on an imposing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.