George HW Bush kumpigia kura Clinton

George HW Bush kumpigia kura Clinton

Mondoros

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
629
Reaction score
474
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton .

Bwana Bush amedaiwa kutoa ahadi hiyo kwa Kathleen Kennedy Townsend, mpwa wa rais wa zamani nchini humo John F Kennedy.

Afisi ya rais huyo wa zamani imethibitisha ripoti hiyo huku msemaji wake akisema anaingalia.

Bwana Bush aliyetawala kutoka mwaka 1989 hadi 1993 hajamuidhinisha mgombea wa urais kupitia chama cha Republican Donald Trump .

Vilevile mwanawe,Jeb Bush,ambaye alishindwa katika kinyanganyiro cha urais kupitia tiketi ya chama hicho mbali na wapinzani wengine katika kinyanganyiro hicho ,Ted Cruz na John Kasich.

Bi Kennedy Townsend ,aliyekuwa luteni Gavana wa Maryland alichapisha picha katika Facebook akiwa katika mkutano na George HW Bush ikiwa na maelezo :''Rais ameniambia atampigia kura Hillary''!
[HASHTAG]#bbc[/HASHTAG]
 
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco
 
Sishangai sana kwani inawezekana.

Lakini pia nina shaka kwa sababu habari haijatoka mdomoni mwa rais Bush mwenyewe. Ona tamko kutoka kwa msemaji wake:

Asked about Townsend’s post, George H.W. Bush spokesman Jim McGrath in an email replied, "The vote President Bush will cast as a private citizen in some 50 days will be just that: a private vote cast in some 50 days. He is not commenting on the presidential race in the interim."
Source

Pia, wagombea urais si Donald Trump na Hillary Clinton pekee.

Wapo pia wa vyama vingine.

Binafsi ningependa kuona mtu tofauti ya Trump na Clinton awe rais.

Trump na Clinton ni wagombea wa vyama vikuu wabovu kabisa katika historia ya Marekani.
 
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco

Pasco, kwanza unajua familia ya Bush biashara yao kuu ni hipi, je unafikiri Bush angeweza kumpigia kura mtu ambaye anamchukulia kama ndiye alisababisha mtoto wake (Jeb Bush) akose nafasi ya kugombea Urais kwa tiketi ya Republican - one more thing, ni viwanda vingapi vya silaha na ndege za vita vinazo hudwa kutoka jimbo la TEXAS - jimbo ambalo familia ya Bush wanaishi, kumbuka vile vile JFKennedy aliuuwawa Dallas Texas unajua kwa nini?

Bush Sr aliwahi kuwa Balozi China, baadae Cheo cha ukurugenzi mkuu wa CIA, makamu wa Rais mwisho Rais kamili - naturally yupo kwenye kundi la Establishment ambalo alitaki mtu ambaye anaonekana ni independent minded kama TRUMP wanamuogopa hawataki abandirishe status quo waliyo zoea miaka nenda rudi.

Group nzima hipo karibu na matajiri wachimba/wauza mafuta ambao familia ya Bush ni member, mabepari wenye viwanda vya kuhunda silaha na ndege za vita, Majenelali wapenda vita nk - Group yote hiyo ndiyo inampiga vita TRUMP kwa kujaribu kumu-demonise - TRUMP akisema statement ya kawaida wao wakishirikiana na MSM wanayakuza kupindukia ili aonekane hafai!! Sina shaka uliwahi kuona atittude za Jeb BUSH alipo kuwa kwenye midahalo akiwa na TRUMP na candidates wengine wa Rupublican - Jeb alionekana anamshambulia sana TRUMP kuliko wengine, kwa nini - kwa watu wanao fatilia kwa karibu kinacho endelea huko wala hatushangazwi na statement za Bush Sr yote hayo yamepangwa kimaksudi kutaka kuonyesha kwamba hata ma stalwart wa Republican party hawamkubali TRUMP yote hayo ni usanii tu lakini Mungu na Dunia yote hipo pamoja na TRUMP, huyu mtu ndiye anaweza kuhepusha Dunia na vita ya tatu ya Dunia - mtakuja kuniambia.
 
Mkuu Bukyanagandi,
I respect your opinion.
Pasco
 
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco
"Kama ni mtu SAFI"
Asante Pasco!
 
......uchambuzi sio mbaya ila bado kiswahili kinakusumbua hasa matumizi sahihi ya herufi "h", "r" na "l". nime-bold
 
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco

Yaani Mwl Nyerere angempiga chini Magufuli halafu angemchagua Edward Lowassa??? Sema Astaghfirullah!
Yaani Mwl Julius Kambarage Nyerere wa Burito yule Mzanaki wa Butiama akachague Mgombea wa Kina Rostam? TCRA wakumulike kwa kumkashifu Baba wa Taifa!
 
Kama TCRA wangekuwa na uwezo wa kuigusa JF, wewe sasa ndio unataka kuleta kashfa.

Nimesema kwa jinsi rushwa na ufisadi vilivyotamalaki CCM, Mwalimu Nyerere angefufuka angeipiga chini CCM na kumchagua mgombea wa upinzani only if kama upinzani ingemsimamisha mgombea safi! .

Kwa nyinyi ambao ni wajuzi Mwalimu Nyerere mnafanya kumsikia tuu!. Aliwahi kusema CCM sio baba yangu au mama yangu! . Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, alimpiga chini mgombea wa CCM na kumchagua wa NCCR Mageuzi na alisema wazi wazi sababu! .
Pasco
 
......uchambuzi sio mbaya ila bado kiswahili kinakusumbua hasa matumizi sahihi ya herufi "h", "r" na "l". nime-bold

Najijua, kiswahili changu na mangle baadhi ya maneno we nivumilie hivyo hivyo, mwisho wa siku I think what counts ni content kama zina mshiko au la.
 
Back
Top Bottom