Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Samsung imeanza mchakato wa kuwafidia wateja walionunua simu hatari za Galaxy Note 7, kazi hiyo imeanza Uingereza na Ireland
Kampuni hiyo imedai kuwa imerekebisha tatizo la berti katika simu hizo, lililosababisha kulipuka na itaanza kuwapa wateja walionunua simu zingine, uingereza ni nchi ya kwanza kuanza kupokea simu hizo mpya za Note 7
Kwa wateja wa Marekani wataanza kupata simu zao, Jumatano September 21. Samsung iliingiza Galaxy Note 7 mwisho mwa Agosti, wiki chache kabla ya kuzinduliwa kwa iPhone 7 ya Apple, mpinzani wake mkuu
Baada ya simu hizo kuonekana na tatizo la kuchemka, iliziondoa simu hizo sokoni, Kampuni hiyo ilikuwa imetengeneza simu hizo milioni 2.5 na tayari milioni 1 zilikuwa zimenunuliwa.