International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

RE: THE GAMBIA - BOTSWANA NO LONGER RECOGNISES MR. JAMMEH PRESS RELEASE Gaborone, 19th January 2017: Following Mr. Yahya Jammeh’s refusal to hand over power to the President-elect Adama Barrow...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mke wake wa zamani wa muuaji wa Orlando nchini Marekani, Omar Mateen aitwae Sitora Yusufiy pamoja jamaa waliosoma nae, wamethibitisha kuwa, muuaji huyo alikuwa na tabia za ushoga pia. Alikuwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kufikia jana 17/1/2017 jumla ya mawaziri 5 walikuwa tayari wamejiuzulu nyadhifa zao zote nchini Gambia kufutia kukataa kujiuzulu kwa Rais wa nchi hiyo aliyeshindwa kwenye uchaguzi na...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
NIGERIA: Ndege ya Jeshi iliyotakiwa kushambulia kambi ya waasi wa Boko Haram yalipua kambi ya wakimbizi na kuua watu zaidi ya 120. - Kati ya waliouawa katika tukio hilo la kusikitisha ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndo hiyo sasa wako tayari kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kuirudisha nchi hiyo kwenye Jumuiya ya Kikoloni ya Madola iliyo chini ya Malkia Elizabeti wa Uingereza vile vile...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
This horrifying footage shows the shocking moment a trade union leader in Mongolia sets himself alight to protest against the proposed sale of the country's coal mining industry to China. The...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Russia Today has been blocked from posting content to its Facebook page. The ban, according to the Facebook bot, will last until Saturday 10:25pm Moscow time (2:25pm EST) and will extend across US...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Vyombo vya habari nchini Marekani vimesema kuwa aliyekuwa rais wa taifa hilo George Bush anapata matibabu katika hispitali moja ya Houston katika jimbo la texas. Maelezo kuhusu hali yake...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
===== An Italian rescue official has said that a number of people have been killed after a hotel was hit by an avalanche, apparently triggered by an earthquake on Wednesday. Rescuers battled...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Maandamano makubwa yanategemewa kufanywa na wapinga Kristo chini ya Raisi Obama, siku ambayo D.Trump anategemewa kuapishwa na alama yao ni Bendera ya USA ambayo imegeuzwa chini juu kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam jf Jeshi la Senegal limesema kuwa majeshi ya Afrika Magharibi yataingilia suala la Gambia usiku wa kuamkia tarehe ya mwisho wa madaraka ya Rais Yayha Jammeh ambayo ni leo ili akabidhi...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Pres Barak Obama waves goobye Katika Press Conference yake ya mwisho akiwa kama Rais wa Marekani, leo Rais Obama amempa ushauri mzito Rais ajaye, Trump. Obama amesema wazi wazi kuwa kazi yz...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Yahya Jammeh ametangaza hali ya hatari nchini Gambia. Amesema yeye ndiye rais ni mpaka uchaguzi mwingine utakapifanyika. Amesema maandamano hayataruhusiwa. Hiyo inatokea kabla ya siku moja muda...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tarehe 20 Jan, 2017 Donald Trump atapokea kijiti cha uongozi kutoka kwa Rais Barack Obama. ikubukwe Obama alitangaza kuwa atahamia Canada je atatekeleza azimio lake
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Jeshi la Senegal, Nigeria Kuivamia Gambia Usiku wa Kuamkia Leo Ili Kumng'oa Rais Yayha Jammeh Aliyegoma Kuachia Madaraka MPEKUZI / 23 minutes ago [https://3] Jeshi la Senegal limesema kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtu mmoja anayejiita nabii nchini Afrika Kusini amesababisha wafuasi wake kunywa kemikali ya kusafishia injini, akidai kuwa ina uwezo wa kuponya na ina ladha ya asali Theo Bongani Maseko wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
bifu lao la ukweli kumbe
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kijana wa takriban miaka 8 amefariki dunia kwa kung`atwa na mbwa ambae anasadikiwa kuwa na kichaa. Mtoto wa kiume wa rais mteule wa Gambia, Adama Barrow amefariki akiwa njiani kupelekwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Dunia ilipigwa na butwaa kuona mtu mwenye asili ya East Afrika kutaka kutawala taifa kubwa lenye nguvu za ushawishi, uchumi na kijeshi duniani. Sisi wana East Africa tulifurahi, kushangilia...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Serikali ya zimbabwe imechagua wanawake 10 na kuwapeleka Brazil ili kupawa ujauzito na magwiji wa soka nchini humo lengo ni kuleta na kukuza vipaji vipya katika soka la Zimbabwe. Makubaliano...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…