Obama ampa usia Trump: Usipopata washauri wazuri, yatakushinda!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,173
13,776
AAlZWP6.jpg

Pres Barak Obama waves goobye

Katika Press Conference yake ya mwisho akiwa kama Rais wa Marekani, leo Rais Obama amempa ushauri mzito Rais ajaye, Trump.

Obama amesema wazi wazi kuwa kazi yz ursis ni ngumu na ni lazima kupata ushauri toka sehemu mbali mbali kstika Ikulu ya White House.
Amesema kwenda kichwa kichwa katika masuaka nyeti kwa kutegemea ushauri wa marafiki tu, Trump atajikuta mpweke, na kuwa nje ya yanayotokea chini na duniani.

Obama amesema yeye alipokea ushauri toka kwa kila mtu kwenye Ikulu yske, hadi vijana wa miaka 20 hadi 30.
Amewasifu waandishi wa habari kuwa wamemssaida sana katika uongozi wake, hata kama hakukubsliana nao nyakati nyingine.

Hii ilikuwa Press Conference ya mwisho kwa Obama akiwa Rais.
Obama meets press for final time as President

Obama added that once Trump gets into office and is hit with the "complexities" of issues, his thinking might shift on issues such as Obamacare and jobs.
In a news conference that will likely mark the final time Obama speaks in public before he departs the US Capitol on Friday as an ex-president, Obama described the phone calls between him and Trump as "constructive" and at times "lengthy."
Obama said the greatest advice he could give -- and has given -- to Trump, is to rely on others around him.
"This is a job of such magnitude that you can't do it by yourself," Obama said.

CNN News
 
Mods msaada tutani kusahihisha heading pls!
To read~
Obama ampa usia Trump: Usipopata washauri wazuri, yatakushinda
 
Obama angekuwa Afrika nahisi angeng'ang'ania Madarakani.
Naona kama hana mani kabisa kuondoka Ikulu.
 
Mugabe anakwambia .

"Obama sio mwafrica halisi sababu amekubali kuachia madaraka Mapema sana , amekosa spirit ya KI africa,
 
mpuuzi huyu yeye mweye washauri wazuri
kafanya nini?
wakati anaingia madarakani deni la taifa
lilikuwa $10.699trilliob na wakati anatoka/
anaachia madaraka deni ni $19.953trillion
kwa hiyo hapo amedabo deni mpuuzi
sana huyu mwenyewe hakuwa na washauri
wazuri akae kimya mpuuzi huyu
zaidi zaidi kapafanya dunia sio sehemu
salama ya kuishi mpuuzi huyu
 
mpuuzi huyu yeye mweye washauri wazuri
kafanya nini?
wakati anaingia madarakani deni la taifa
lilikuwa $10.699trilliob na wakati anatoka/
anaachia madaraka deni ni $19.953trillion
kwa hiyo hapo amedabo deni mpuuzi
sana huyu mwenyewe hakuwa na washauri
wazuri akae kimya mpuuzi huyu
zaidi zaidi kapafanya dunia sio sehemu
salama ya kuishi mpuuzi huyu
Subiri Trump akurudishe mtaa wa Congo!
 
Back
Top Bottom