Putin warns D.Trump of Coup D'etat in Washington!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Maandamano makubwa yanategemewa kufanywa na wapinga Kristo chini ya Raisi Obama, siku ambayo D.Trump anategemewa kuapishwa na alama yao ni Bendera ya USA ambayo imegeuzwa chini juu kama inavyoonekana kwenye picha!
85782615-e1484694440420-549x400.jpg

Putin warns D.Trump;

Warning that a "soft coup" is being waged against Donald Trump, Russian President Vladimir Putin said that he sees attempts in the United States to "delegitimize" US President-elect Donald Trump using "Maidan-style" methods previously used in Ukraine, where readers will recall president Yanukovich was ousted in 2014 following a violent coup, which many suspect was conducted under the auspices of the US State Department and assorted US intelligence operations.

,,I have an impression they practiced in Kiev and are ready to organize a Maidan in Washington, just to not let Trump take office,"
Putin said, referencing the coup d’état that led to the overthrow of the Ukrainian government in 2014!

Ikumbukwe pia Raisi wa Urusi alimuokoa T.Erdogan wa Uturuki kupinduliwa na NATO baada ya kumshtua dakika za mwisho, sasa Mkuu wa KGB ambaye amebobea kwenye mambo ya upelelezi anamuonya Raisi anayesubiri kuapishwa hapo Januari 20. D.Trump kwamba maelite na global capitalist wanapanga kuhakikisha D.Trump haapishwi!

Kuna habari kwamba fujo kubwa itatokea na Raisi Obama kutangaza hali ya hatari kuzia chaguo la watu D.Trump kutoapishwa!
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa hadi nataman kupata namba ya putin nimwambie marekan amekutega. Mfano marekan anadai urusi aliingilia uchaguzi hapa putin anategwa ili ajione yuko juu kitecnolojia sasa nataman kirahisi tu putin aseme Urusi haina uwezo wa kuingilia uchaguzi wa taifa kubwa kama marekan. Hapo marekani ataanza kujishtukia ila akibweteka sijui kifuatacho lakini Urusi ajiimarishe tu maana kuna dalili marekani yuko urusi ila sijui kama urusi yupo marekani. Msaada pia kwa anaejua zaidi maana hizi ni hisia zangu tu.
 
Wabongo bhana, yaani wewe uwe unajua kitu Putin hakijui? Unajua CV ya Putini wewe? Putin alikuwa Top spy wa Soviet Union, leo hii uje useme wewe unajua kitu yeye hakijui? USA wamtege Putin wewe ujue yeye asijue? Ingekuwa rahisi hivyo si wangeshamaliza zamani kwa nini wanahangaika na sanctions?
 
Du kuna ukweli hapo! Putin habahatishagi!
 
Wabongo bhana, yaani wewe uwe unajua kitu Putin hakijui? Unajua CV ya Putini wewe? Putin alikuwa Top spy wa Soviet Union, leo hii uje useme wewe unajua kitu yeye hakijui? USA wamtege Putin wewe ujue yeye asijue? Ingekuwa rahisi hivyo si wangeshamaliza zamani kwa nini wanahangaika na sanctions?
Mkuu usijibizane nae kuhusu Putin, angalia kwanza join yake Jf ni lini huyo 2017!
 
Huu ni mpango wa mfanya biashara mkubwa Bwana SOROS jamaa huyu ni hatari sana sana kwanza ndiye alihusika moja kwa moja na njama kuchochea colour revolution huko Ukraine alikuwa ana-finance watu wanao andamana vile vile walipenyeza sharp shooters wa CIA wenye silaha zilizo fungwa silencer wakajificha maghorofani na kuanza kudungua waandamaji mmoja mmoja wakatumia vyombo vya habari za magharibi kueneza uzushi kwamba raia wanauwawa na Serikali iliyokua madarakani kwa za Putin - lengo likiwa kuwadanganya wananchi ili wazidi kuchukia Serikali yao na kumuondoa madarakani Rais wao kwa maandamano.

Soros ana mbinu nyingi za kimafia na fedha ya kugharimia vurugu anazo sana na hampendi Trump imekwisha bainika kwamba kumbe SOROS ndiye alikuiwa anawalipa waandanaji kwenye baadhi ya miji huko Marekani kupinga ushindi wa Trump, maandamano yalikuwa so ugly je, maadanano ambayo yamepangwa siku ya kuhapishwa Trump yatakuja kwa sura gani? Wamerika wanataka kufanya mambo ya kujidhalilisha.

Trump anapashwa kuchukulia onyo la Putin seriously - SOROS, Clinton na Obama wanaweza kweli kufanya njama za kuhamasisha waandamaji wakalipwa wafanye fujo ya nguvu na mauuaji ikibidi ili Obama apate kisingizio cha ku-declare hali ya hatari nchi nzima hapo hapo atangaze kuhairisha kuapishwa kwa Trump! Who knows nini kitafuatia? Tusisahau kwamba Obama ,Hillary, Soros na genge lao wako determined ku undermine efforts zote za Trump kuongoza Taifa lao - watu wa usalama wanapashwa kuweka ulinzi mkubwa wakati wa kuhapishwa Trump - wasiruhusu maandamano ndani ya mji wa Washington DC.

Hayo ni maoni yangu baada ya kusoma Putin alivyo mtahadhalisha Trump kuhusu njama zilizo sukwa na genge la Hillary, ujasusi wa Urusi siyo wa kubeza beza ndiyo ulimuhokoa Rais wa Uturuki hasiuwawe katika jaribio la mapinduzi.
 
To be honest, wamarekani walikosea sana kuwapitisha Trump na Hilary kua nominees kwenye vyama vyao! Kati ya hao hakukua na mwenye uwezo wa kua rais!

Wamelikoroga wacha walinywe!
 
Wabongo bhana, yaani wewe uwe unajua kitu Putin hakijui? Unajua CV ya Putini wewe? Putin alikuwa Top spy wa Soviet Union, leo hii uje useme wewe unajua kitu yeye hakijui? USA wamtege Putin wewe ujue yeye asijue? Ingekuwa rahisi hivyo si wangeshamaliza zamani kwa nini wanahangaika na sanctions?
Bhaerezeee hao
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa hadi nataman kupata namba ya putin nimwambie marekan amekutega. Mfano marekan anadai urusi aliingilia uchaguzi hapa putin anategwa ili ajione yuko juu kitecnolojia sasa nataman kirahisi tu putin aseme Urusi haina uwezo wa kuingilia uchaguzi wa taifa kubwa kama marekan. Hapo marekani ataanza kujishtukia ila akibweteka sijui kifuatacho lakini Urusi ajiimarishe tu maana kuna dalili marekani yuko urusi ila sijui kama urusi yupo marekani. Msaada pia kwa anaejua zaidi maana hizi ni hisia zangu tu.
Una sense of denial... Kubali ya ishe nchi hiyo ilijiamini kama dola ya urumi sasa ni down fall yake...Hii dunia bado Mungu yupo!
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa hadi nataman kupata namba ya putin nimwambie marekan amekutega. Mfano marekan anadai urusi aliingilia uchaguzi hapa putin anategwa ili ajione yuko juu kitecnolojia sasa nataman kirahisi tu putin aseme Urusi haina uwezo wa kuingilia uchaguzi wa taifa kubwa kama marekan. Hapo marekani ataanza kujishtukia ila akibweteka sijui kifuatacho lakini Urusi ajiimarishe tu maana kuna dalili marekani yuko urusi ila sijui kama urusi yupo marekani. Msaada pia kwa anaejua zaidi maana hizi ni hisia zangu tu.
Acha kuota wewe mataifa makubwa yanaishi kwa Research sio propaganda za kijinga. Hawabweteki kwa umbea wanaoambiwa wanafanya kwa utafiti. Moja ya jukumu la taifa lolote ni kujitangaza
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja!.ila sio kwa marekani

Sijui Russia wametumika kwa kiasi gani kumuweka Trump madarakani kama watu wanavyosema ila Taifa la marekani ni Taifa kubwa na lilojitosholeza kwa kila hali...

Marekani hakuna kukurupuka kama mambo ya Chamwino na Ufipa-kinondoni..

Nothing happen accedentally in politics..everything happen as result of Plans..

Its either you had good plans or bad plans..!

All the best Mr. D . TRUMP
 
Back
Top Bottom