Barua ya George Bush kwa Donald Trump

Barua ya George Bush kwa Donald Trump

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,245
Reaction score
12,620
Screenshot_2017-01-18-22-43-11.png
bifu lao la ukweli kumbe
 
Kwa wasiomjua ;Huyu ni George Bush Baba alieangushwa na Bill Clinton 1993 sio Huyu Walker Bush jr
 
Huyo mkubwa si nimesikia kalazwa yu mgonjwa

Soma Maelezo ya chini kabisa baada ya Barua hiyo utaona inaeleza hilo la kulazwa.

Bush Mdogo Mkewe anaitwa Laura na Barbara ni Mama yake !
 
Soma Maelezo ya chini kabisa baada ya Barua hiyo utaona inaeleza hilo la kulazwa.

Bush Mdogo Mkewe anaitwa Laura na Barbara ni Mama yake !
Yaah sure sikuwa nimecheki,by the way hawa huwa wananichanganya walker ni yupi na george ni nani
 
Bush senior huyo amekuwa hospitalized tangu jana
 
Back
Top Bottom