Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Habari ndo hiyo sasa wako tayari kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kuirudisha nchi hiyo kwenye Jumuiya ya Kikoloni ya Madola iliyo chini ya Malkia Elizabeti wa Uingereza vile vile kuirudisha nchi ya Gambia kwenye mdomo wa Mzungu chini ya ICC!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Gambia ilijitoa British common wealth na ICC, sasa kibaraka wa Mzungu ambaye Waafrika wanataka kumsimika kwa nguvu ili kutetea maslahi ya Mzungu ameahidi siku anaaingia Ikulu kuirudisha nchi ya Gambia Jumuiya ya Madola na ICC!
Kwa kifupi Waafrika wanatumia fedha zao kumpigania Vita Mzungu, Wazungu wanaita proxy war!
Mzungu ndiyo aliyepaswa kuivamia Gambia na kumuweka huyo kibaraka wake, lkn kwa kuwa maisha yake Mzungu ni muhimu zaidi anatumia nigga kumpigania, ni kama vile Waafrika wanaokufa Somalia na Al-Shaabab, ile ni vita ya Mzungu kwa maslahi ya Mzungu lkn Mzungu zaidi ya drones au ndege zisizokuwa na rubani hapeleki watu wake bali anawatumia Waafrika kama Kenya, Uganda &Co. na gharama ya vita analipia Mwafrika faida ya vita anachukuwa Mzungu!
Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!
Campaign promises of Adama Barrow (wikipedia)
,,He has promised to return The Gambia to its membership of the Commonwealth of Nations and the jurisdiction of the International Criminal Court.[10]".
Gambian president-elect vows to return country to Commonwealth