Yahya jamah willing\unwilling is to hand over the POWER

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Jeshi la Senegal, Nigeria Kuivamia Gambia Usiku wa Kuamkia Leo Ili Kumng'oa Rais Yayha Jammeh Aliyegoma Kuachia Madaraka

MPEKUZI / 23 minutes ago

[https://3]

Jeshi la Senegal limesema kuwa majeshi ya Afrika Magharibi yataingilia suala la Gambia usiku wa kuamkia tarehe ya mwisho wa madaraka ya Rais Yayha Jammeh ambayo ni leo ili akabidhi madaraka kwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanywa mwezi uliopita.

Vikosi kutoka Senegal vimesogea katika mipaka ya Gambia, Nigeria pia imetuma vikosi vya anga katika eneo hilo.

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz yuko nchini Gambia kwa kile kilichotajwa kuwa ni juhudi za mwisho za kumshauri bwana Jammeh kuachia madaraka kwa Rais mteule wa Gambia Adama Barrow ambaye kwa sasa yuko nchini Senegal.

Senegali imeomba Jumuiya ya Usalama ya Umoja wa Mataifa kushinikiza Umoja wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuchukua hatua za msingi katika kuhakikisha Rais mteule wa Gambia anakabidhiwa madaraka.

Chanzo: BBC

Visit website
 
"We are not going to involve ourselves militarily, this is a political dispute," he said. "I am not going to involve my soldiers in a stupid fight. I love my men - Gambian army chief (Ousman Badjie)

Source: BBC ()
 
Jeshi la Senegal, Nigeria Kuivamia Gambia Usiku wa Kuamkia Leo Ili Kumng'oa Rais Yayha Jammeh Aliyegoma Kuachia Madaraka

MPEKUZI / 23 minutes ago

[https://3]

Jeshi la Senegal limesema kuwa majeshi ya Afrika Magharibi yataingilia suala la Gambia usiku wa kuamkia tarehe ya mwisho wa madaraka ya Rais Yayha Jammeh ambayo ni leo ili akabidhi madaraka kwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanywa mwezi uliopita.

Vikosi kutoka Senegal vimesogea katika mipaka ya Gambia, Nigeria pia imetuma vikosi vya anga katika eneo hilo.

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz yuko nchini Gambia kwa kile kilichotajwa kuwa ni juhudi za mwisho za kumshauri bwana Jammeh kuachia madaraka kwa Rais mteule wa Gambia Adama Barrow ambaye kwa sasa yuko nchini Senegal.

Senegali imeomba Jumuiya ya Usalama ya Umoja wa Mataifa kushinikiza Umoja wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuchukua hatua za msingi katika kuhakikisha Rais mteule wa Gambia anakabidhiwa madaraka.

Chanzo: BBC

Visit website
Mkuu hii imekaaje kwani jana taarifa ya jana usiku nimesikia kua ameongezewa mda na bunge la nchi yake ambazo ni siku tisini ( miezi mitatu) .Na nikweli kabisa kua mda wake unaisha leo sasa hii ya kutaka kuvamiwa a kuondolewa huoni kama ni kizungumkuti pia naomba ufafanuzi
 
Mkuu bunge linapingana na maamuzi ya ECOWAS incumbents pia bunge liko upande wa yahya jamah hii ishu iko kama ilivyo y cuf pande mbili zinavutana
 
Back
Top Bottom