International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kila siku tunaambiwa na Chadema &Co. kwamba Raisi wetu P.Magufuli ni ,,one man show", sasa nauliza Je, Raisi wa USA mpaka sasa siyo one man show? Vipi kuhusu ,,strong man"? Je Trump mpaka sasa...
2 Reactions
4 Replies
879 Views
From Syria,Iraq ,Iran ,Libya,Somali ,Sudan ,Yemen .He will use George bush bill to build the wall in Mexico .Nchi 9 za Africa hazitopata msaada mpaka waonyeshe maendeleo . ===== Rais wa...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
British Jamaican Monica Brown (second right) speaks to The Citizen reporter during an interview in Dar es Salaam yesterday. With them are, from left: Ms Iciline Brown, The Reverend Adassa Simith...
9 Reactions
24 Replies
5K Views
As Donald Trump takes over the White House today, a number of folks on Twitter have been pointing out that many crucial pages on WhiteHouse.gov have disappeared, including those relating to...
3 Reactions
133 Replies
16K Views
Kiongozi wa kanisa katoliki anayewasaidia raia wa Malta amejiuzulu kufuatia mgogoro na Vatican kuhusu mpango wa kusambaza mipira ya kondomu kulingana na kanisa hilo. Mathew Festing mwenye umri wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bwana huyu wala hakuomba kura kwa kunyenyekea ki hivyo. Aliongea kila aina ya shits anazozijua yeye. Wala hajawahi kuwa desparate na lolote. Wala hajawahi kujutia kauli zake. Wala hajawahi kuhisi...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Trump’s State Department to Police Obama’s $221 Million Transfer to Palestinians === Congresswoman Kay Granger (R-Texas), who sits on the House Appropriations Committee, is very upset with...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia.... Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 .... Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna watu wengi ambao hawakupaswa kupiga kura walipiga kura kwenye Uchaguzi wa USA uliopita kulingana na maelezo ya Raisi wa USA, D.Trump ikiwa ni pamoja na wahamiaji haramu na watu waliokufa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali ya Korea Kaskazini imemuonya Rais mpya wa Marekani, Donald Trump kuhusu siasa zake za kiuhasama na kusema kwamba ikiwa nchi hiyo itapanga kuishambulia, Pyongyang itakuwa ya kwanza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Banjui. Askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) wamegundua kemikali ya sumu kali iliyokuwa imetegwa kwenye vyumba vya Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais wa North Korea, Kim Jong-un amesema hajali vitisho na presha kutoka kwa Marekani wala rais wake, Donald Trump kuhusu kutengeneza silaha za nyuklia na kusema kuwa nchi yake itaendelea...
3 Reactions
127 Replies
11K Views
Kwa waandishi wa habari Tanzania ambao kila siku wanajiona wako untouchable na wanawategemea wamarekani wawatee kwa uzembe wao na kulia lia kila siku kwa kujiona professional yao iko noble na...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Kwa mambo anayofanya sasa hivi, D.Trump akiwa na siku chache tu madarakani, kwa kumbukumbu zangu sijawahi kuyashuhudia tangu nimeanza kujua na kufwatilia Siasa za USA! Jamaa ametumia excutive...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewaweka Lockap Mashoga wawili waliotaka kufunga ndoa na kuahidi kuwa atawaachia huru mara tu mmoja wapo atakapopata Mimba...
43 Reactions
734 Replies
88K Views
Mshauri wa rais wa Gambia amesema kuwa kiongozi aliyeenda kuishi uhamishoni huko Guienea ya Ikweta, Yahya Jammeh ameondoka na magari ya kifahari na vitu vya thamani vya Ikulu. ===== BREAKING...
4 Reactions
166 Replies
26K Views
Rais wa Marekani Mh Donald John Trump amemteua na kuthibitishwa na bunge la congress ndugu Mike Pompeo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa shirika la Ujasusi wa mambo ya nje la Marekani yaani CIA Aidha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Shule zimefunguliwa nchini Swaziland chini ya agizo jipya la serikali kufunza somo la dini ya kikristo pekee, hatua iliokosolewa kwa kuwa inakataa kuheshimu dini nyengine kulingana na chombo cha...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
DAR ES SALAAM, TANZANIA — Turkish President Recep Tayyip Erdogan on Monday talked about trade and security on the first stop of an African tour, urging Tanzania's leader to shut institutions...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Mteule wa Gambia Bw.Adama Barrow leo anarejea Nchini Gambia baada ya kuridhishwa na hali ya Usalama nchini humo. Barrow ambaye aliapishwa kwenye ofisi za ubalozi nchini senegal ameapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…