PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Bwana huyu wala hakuomba kura kwa kunyenyekea ki hivyo. Aliongea kila aina ya shits anazozijua yeye. Wala hajawahi kuwa desparate na lolote. Wala hajawahi kujutia kauli zake. Wala hajawahi kuhisi anakosea. Daima anajiona yupo sahihi. Anaenda hospitalini kuwatembelea wagonjwa. Anawaambia wampe kura kabla hawajafa. Anawaambia hatajali sana kama watakufa la muhimu kwake wampe tu kura. Na wakampa ndio maana kashinda.
Kura zote za maoni zilionyesha yeye hashindi. Trump anawaambia watengeneza kura za maoni wao ni waongo. Anawaambia atashinda sana. Siku ya siku kweli akashinda. Bwana yule alikuwa akiulizwa atashindaje huku kura za maoni zinaonyesha tofauti. Jibu lake ni moja tu. Atashinda kwa kishindo (We will win big). Na kweli akashinda big.
Mwanzoni kabisa wa mchuano wa ndani ya chama. Obama aliulizwa vipi kuhusu Trump. Obama alijibu Trump anatania. Hawezi kuwa rais. Na wengi wengi tu walijua Trump anambwela tu. Leo tunavyosoma hapa Obama ndo anamuachia Trump ofisi. Yes, Trump ndio rais. Anamiliki nuclear codes. Ni rais wa dunia.
Tuseme nini hapa. Tumwacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu ndie mkuu wa destine za maisha ya kila kitu hapa duniani. Namaanisha kila kitu.
Mungu wewe ni Mungu tu. Umesikiliza na kunijibu maombi yangu. Hujasikiliza na hukunijibu maombi yangu. Utabaki kuwa Mungu tu. Maisha ya binadamu wenzetu yanadhihirisha utukufu wako kwetu sisi. Na wote mseme Amen.