Kim Jong-un: Sijali kuhusu onyo la Trump, tutaendelea kutengeneza silaha za nyuklia

AHMARDZ

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
790
677
nintchdbpict000167849381.jpg

Rais wa North Korea, Kim Jong-un amesema hajali vitisho na presha kutoka kwa Marekani wala rais wake, Donald Trump kuhusu kutengeneza silaha za nyuklia na kusema kuwa nchi yake itaendelea kutengeneza silaha hizo na kujiimarisha kiuchumi.

My Take:
Dah huyu jamaa hatari, North korea anamiliki long range missile intercontinental yani from North Korea straight to USA.

Miaka yote North Korea pamoja na kuwekea vikwazo bado wanaendelea na wamepiga hatua sana tu.

=======

PUNCHY North Korea has vowed to carry on with its rapidly expanding nuclear weapons programme – despite mounting pressure from the US and Donald Trump.

Kim Jong-un’s rogue state said it will stick to its dual pursuit of nuclear weapons and economic growth ahead of the inauguration of the President-elect later this week.

It made it clear it will continue to develop nuclear weapons in tandem with boosting the country’s moribund economy, commonly known as the ‘byeongjin’ policy, according to the Korean Central News Agency (KCNA).

“By firmly sticking to the policy, we will soar as a great political, military and economic power,” the state- run news agency said.

The threat comes after it was revealed Kim’s military will have nuclear warheads capable of striking US territory within a YEAR.

Since taking power the North Korean dictator has dramatically increased his country’s nuclear weapons programme.

According to 38North, his Musudan missiles – with a range of 3,500 miles – will be ready within a year.

The US has announced it will deploy its state-of-the-art THAAD advanced missile defence system in South Korea in eight to 10 months to combat the threat from the North.

Trump has vowed to tackle the North Korean ‘problem’ once in power.

“North Korea just stated that it is in the final stages of developing a nuclear weapon capable of reaching parts of the US It won’t happen!” Trump tweeted last month.

It was not clear what Trump meant: whether he believed North Korea was incapable of developing a reliable ICBM, or that the US would prevent it doing so.

Trump's pick for defence secretary James Mattis told at his confirmation hearing on Jan. 12 that as the North's nuclear and missile development is "a serious threat," the US should "do something about it."

North Korea has long claimed that it is developing nuclear weapons as a deterrent against what it calls Washington's hostile policy towards Pyongyang.

"North Korea is sending messages (to the US in various ways) in a bid to put pressure on the US to shift its policy toward North Korea," said an official at Seoul's unification ministry.

Source: North Korea leader Kim Jong-un says he doesn't care about Donald Trump's warning as he reveals he'll carry on building deadly nuclear weapons
 
Mimi niliona mwanzoni mwezi huu hotuba ya Kim ikiripotiwa kupitia CNN TV , yeye( Kim) alisema wanazo missile zamkupiga USA na kusisitiza kuwa zina uwezo mkubwa wa kufumua USA yote na hata eneo lolote lile la pembe ya dunia kwa usahihi.

Japo, Kim aliongezea kusema kuwa , yeye missile zake zote ni kujikinga na adui wao mkubwa ambaye ni USA na washirika wake.

Kwa hiyo hii taarifa ni sahihi na Kim amesema yuko katika harakati za kuandaa ya kufuta dunia nzima kwa Mara moja.
 
ila izo za kufika USA ndo zinaelekea mwishoni kukamilika so wanategemea kuanza majaribio.
 
Ndiyo japo, anapiga mkwala kuwa atahakikisha ya kufuta dunia nzima iko jikoni
hahaha yule jama mwehu utawala wa obama umemuambia trump na utawala wake wawe makini na dogo huyu sio mtu wamchezo mchezo nae trump anachukulia swala la utani utani siku atasikia kitu kina teremka newyork.
 
Tatizo ni USA kujiona mungu wa hapa duniani mbona Russia amegomea check and balance of nukes na USA kafyata mkia?
Ndiyo maana namuona USA kama mizimu vile .
mie i love north korea i wish nika kae huko nipige kazi kule
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Oxx, aisee Sikiliza taarifa za habari kutoka vyombo vya ndani nje ukikalia udaku news paper utajakuta hata home kwako wamehama huelewi kinachoendelea.
 
Wish yako ije true kabisa uende wakakunyooshe, we unafikiria North Korea ni mchezo mchezo, ukisikia mungu duniani basi ndiyo Kim Jong Eun mwenyewe, akisema ufe unauliwa bila kuuliza chochote, na hakuna wa kum-question.
my wish is true, hao wao wanamuongelea vile media tuh ili wamchafue, mara ana technology duni mara vile ila awamjaribu yani assumption nyingi mara na ndege za kizamani. kule kuna discipline sio inchi zetu wezi kibao
 
  • Thanks
Reactions: MC7
hahaha yule jama mwehu utawala wa obama umemuambia trump na utawala wake wawe makini na dogo huyu sio mtu wamchezo mchezo nae trump anachukulia swala la utani utani siku atasikia kitu kina teremka newyork.

Haa haaa tuombe, isitokeee kitu kikazama Washington DC, ama New York, maana Trump na jaziba zake atabonyeza nukes codes bila uangalifu na kutumbua dunia nzima akidhania amebonyeza za kuelekea North Korea!!
 
Mungu wangu sipati picha, ila dogo wana muonea angalia video ya dennis rodman alivyo visit north korea, kurudi waka mm interview dogo anasema hataki vita anataka obama ampigie simu waoge, mie naona dogo yuko sawa ana ji hami. USA sio mtu mzuri kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
my wish is true, hao wao wanamuongelea vile media tuh ili wamchafue, mara ana technology duni mara vile ila awamjaribu yani assumption nyingi mara na ndege za kizamani. kule kuna discipline sio inchi zetu wezi kibao

Inasikitisha kuona watu kama wewe, regardless ya chuki zako na nchi kama marekani, still wao wanaishi vizuri kuliko wewe, hiyo ni fact, na North Korea ni masikini watu wanapigwa njaa. Sasa kama discipline ndiyo ina maanisha uishi bila kufanya unachotaka au ufe na njaa basi endelea kuikumbatia hiyo discipline.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom