Rais Trump amteua Mike Pompeo kuwa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa CIA

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
170112111433-02-pompeo-testifies-0112-large-169.jpg

Rais wa Marekani Mh Donald John Trump amemteua na kuthibitishwa na bunge la congress ndugu Mike Pompeo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa shirika la Ujasusi wa mambo ya nje la Marekani yaani CIA

Aidha, Mkurugenzi Mkuu alieondoka kamanda John Brennan alikasirishwa na tabia ya Mh Rais Trump kwenda kutumia muda mwingi kuwahutubia Maafisa wa CIA katika ukumbi wa Memorial na kutumia muda mwingi kuponda vyombo vya habari na kutangaza vita na baadhi ya vyombo vya habari kwa habari anaziita za uzushi, John brennan hakuficha chuki zake baada ya Rais kuwafuata CIA.

Trump's New Clean Up Man at the CIA
CIA director Mike Pompeo will learn that the agency is not kind to interlopers from Capitol Hill
pompeo_cia_director.png

Mike Pompeo, CIA director
Photo Credit: YouTube

Mike Pompeo, Republican congressman from Benghazi (I mean Kansas) was confirmed as director of the Central Intelligence Agency on Monday. The 53-year-old former Congressman is walking into a bureaucratic whirlwind, the likes of which Langley has not seen since the aftermath of the 9/11 attacks.

Pompeo now has nominal control of one of the powerful and controversial components of the U.S. government, which his patron, the President of the United States, has alternately denigrated and embraced in recent weeks. The new director has the unenviable task of explaining to his new colleagues that Trump really didn’t mean it when he blamed outgoing director John Brennan for leaking an unverified dossier on Trump to the media and insultingly compared the CIA to “Nazis.”

Pompeo will also have to live down Trump’s astonishingly oafish appearance at the CIA headquarters on his first day in office. On Saturday, the new president used the agency as his prop for a television appearance in which he misrepresented the size of the crowd at his inauguration. Just days after insulting the CIA leadership, Trump told the assembled personnel, along with a claque of cheering outsiders, that “there is nobody that feels stronger about the intelligence community and the CIA than Donald Trump.”

On Sunday CBS News quoted unnamed senior Agency officials as saying they were “uncomfortable” with Trump’s antics. On Monday press secretary Sean Spicer denied that the White House had installed his supporters in the front row of the auditorium where Trump appeared. Within hours, CBS News quoted CIA officials confirming that Trump had indeed packed the hall.

Such public hostility to the CIA is unprecedented and no doubt disturbing to the clandestine bureaucracy at the heart of what has been dubbed “the deep state” or “the double government.” The fact that the senior CIA officials were leaking information about an incoming president on his second day in office does not bode well for Pompeo’s job security.

And cleaning up after the president’s verbal poop is not the biggest of the Pompeo’s challenges. The CIA is a $14.7 billion a year agency that is historically unfriendly to directors who have not risen through its ranks.

The last congressmen who parachuted into Langley was hapless Florida Representative Porter Goss, appointed by President Bush in 2004 to succeed the disgraced George Tenet. Goss, a former operations officer who never held a senior management position in Langley, lasted less than two years. He was shown the door after being outmaneuvered by John Negroponte, the first Director of National Intelligence (DNI).

Conspiracy Theorist

Pompeo brings a certain intelligence and indecent tenacity to the job. As a West Point cadet, he was first in his class. As a Tea Party congressman he lead the charge against Secretary of State Hillary Hillary Clinton for her handling of the September 2012 attack on U.S. diplomats in Libya. When the family of slain ambassador Christopher Stevens said his death of should not be politicized,Pompeo ignored them.

He also brings a skepticism about climate change that is not shared by the CIA and the U.S. intelligence community. When asked about climate change during his confirmation hearings Pompeo said "my role is going to be so different and unique from that."

Such indifference to fact does not bode well for Pompeo’s tenure in Langley. Say what you will about the CIA, careless thinking and partisan politicking are not prized in Langley. Whether agency personnel are engaged in the black arts of clandestine action (ranging from interfering in democratic elections to assassinating jihadists or a U.S. teenager) or in the dispassionate analysis of key policy issues (ranging from the real threat of climate change to the realiy of Iran’s nuclear ambitions), they believe in the supreme value of intelligence--facts distilled into useful and actionable information.

Unfounded conspiracy theories are a menace to the agency’s credibility, power, and budget. The agency’s critics sometimes forget that Tenet came to the agency as an outsider. He had previously served as staff director at the Senate Intelligence Committee. They also forget that Tenet’s “slam dunk” belief in the bogus neoconservative conspiracy theory of Saddam Hussein’s WMD was not universally shared. The career analysts who saw no evidence of Iraqi WMD were overruled by a director from Capitol Hill eager to curry favor with a polarizing Republican president.

Pompeo inherits the burden of this institutional memory. Tenet’s folly not only justified the moral and geopolitical catastrophe of the Iraq war. It also proved a bureaucratic setback for the agency. Within two years, Tenet was gone, and Congress had created the DNI position, which ended the CIA’s primacy among U.S. intelligence agencies.

Now the agency is threatened again.Trump and his DNI, retired general Michael Flynn, have floated a plant to reorganize the intelligence community at the CIA’s expense.Then the thoroughly unreliable press secretary Spicer deniedthere was any such plan.

The coherence and reality of Trump’s CIA plans are open to doubt. Unlike in 2004, there is no great appetite on Capitol Hill for remaking the CIA, even among Republicans. Amid the Trumpian turbulence, Pompeo may be able to live down his own reputation for partisanship. But he will he hard pressed to dispel the perception that is boss is an unintelligent, and perhaps unstable, man and a menace to the agency’s core missions of covert operations and policy analysis.

Both Pompeo and Trump are already floundering on the hard shoals of Washington political reality: Presidents and their dreams of taming Langley come and go, while the CIA endures.
 
wasifu please

Jina kamili
: Michael Richard pompeo
Kuzaliwa: tarehe 30.12.1963 Orange- Calfornia
Elimu. Shahada ya
kwanza:Chuo kikuu cha kijeshi West point. 1986- 1991
Harvard school of law.....
Cheo cha kijeshi: Kapteni

Uzoefu: 2014 aliteuliwa
kuongoza kamati ya uchunguzi pale Benghazi Libya.
Pia ni mmiliki wa taasisi na kampuni za ulinzi na usalama na vifaa vya kijeshi Marekani inayoitwa Thayer Aerospace
Familia: amemuoa Suzan na wana mtoto wa kiume anaitwa Nicholas
 
Jina kamili: Michael Richard pompeo
Kuzaliwa: tarehe 30.12.1963 Calfornia
Elimu. Shahada ya kwanza:Chuo kikuu cha kijeshi USMA Harvad 1986- 1991
Uzoefu wa kutosha katika medani za kijeshi na uchunguzi
Ok, mkali siyo!
 
Dah kwa mala ya kwanza taasisi namba mbili duniani ya Intelligence Agency kwa ubora baada ya inter - service intelligence (ISI) ya Pakistan ikiongonzwa na msanii na oportunist mr pompeo na ni mala ya kwanza kwa taasisi namba moja ndani ya US ktk zile taasisi zijulikanazo kama "Big five" + 1 inaongozwa na mtu aliyekuwa na cheo kidogo ktk utumishi wake ktk vyombo vya usalama na jeshini

Mr mike ametumikia jeshi kwa muda mfupi sana kuanzia mwaka 1986 - 1991 ni kama miaka 5 tu pia cheo kikubwa alichopata kwa kipindi hiko ni captain tu cheo ambacho ni cha kawaida sana jeshini na hata clearance level unakuwa huna sasa leo anakwenda kupata clearance level number 1 ambayo inamwezesha kuingia ikulu muda wowote anapotaka yy na pia kutembelea gari yenye plate number zijulikanazo kama (six ps )

Jamaa ni mfanyabiashara tu na ndo kitu naona trump anakifanya kujaza wafanyabiashara kwenye Administration yake jamaa anamiliki kampuni ya vifaa vya kijeshi au wanaziitaga defence contractors ijulikanayo kama Thayer Aerospace na ndani ya hyo kampuni kuna kampuni ya ulinzi na usalama na ndio walkuwa walinzi binafsi wa trump kipindi chote cha baada na kabla ya kampeni japo kuwa alikuwa analindwa na secret service 5 wakat wa kampeni na baada ya kushinda aliongezewa ulinzi lakini bada walinzi wa Thayer Aerospace walikuwapo nadhani waliondoka baada ya kula kiapo tarehe 20 na kazi ya usalama na ulnzi wake yy na familia yake yote ikawa mikononi mwa SS

Pia Mr pompeo alikuwa amegombea uwakilishi wa jimbo la Kansas na alishinda kwa 60.6% so naona trump ameamua kumpa shavu kubwa mshikaji wake mh naomba niishie hapo tu
 
Kwa wenzetu kazi nzito nzito wanapewa watu wazima,, siyo hapa kwetu usanii mtupu!!
 
Nilisikia akimsifia kwenye ile speech yake alipowatembelea jamaa wa Langley Virginia ...alipoiona tu CV ya Pompoe hakutaka hata kuendelea na mwingine ,Jamaa alikuwa MIT sijui kwa miaka mingapi,Harvard kapita
Ila pia jamaa ni mfanyabiashara na Trump naona anavutiwa na watu wa kaliba yake

Kama Dr mmoja kule Tanga na Nyika
 
Ina maana kuwa wewe unajua sana kuliko senate y US.?

Pia tambua kuwa kwa cheo cha Director wa CIA kuna scrutiny ya hali ya juu inafanyika hata kabla jina la mtu huyo kuwekwa public...

Shida yenu mnaleta akili zenu za kitanzania kwenye US Intelligence community?

Sasa kwa taarifa yako tu mwanajeshi mwenye cheo kidogo tu cha corporal anajua administration vizuri tu... Jeshini ni tofauti kabisa na uraiani ..kule kuna elimu tofauti kabisa
 
Hivi niwaulize huyu John McCain alikuwa na cheo gani jeshini .... Kipindi kile cha vita vya Vietnam....

Je umeshawahi kujiuliza kwa nini sasa hivi ana sauti?
 
Nilisikia akimsifia kwenye ile speech yake alipowatembelea jamaa wa Langley Virginia ...alipoiona tu CV ya Pompoe hakutaka hata kuendelea na mwingine ,Jamaa alikuwa MIT sijui kwa miaka mingapi,Harvard kapita

Ila pia jamaa ni mfanyabiashara na Trump naona anavutiwa na watu wa kaliba yake
Kama Dr mmoja kule Tanga na Nyika

Dr gani??
 
Rais wa Marekani Mh Donald John Trump ...
Naona umeamua kuweka misifa ya kijinga ya kibongo. Being a president directly implies Mh; so you don't have to mention it. Hata siku moja hutasikia rais wa US akitajwa eti Hon. XXX; sijui Hon. Prof. XXX; its simply President Trump; President Obama, President Bush; etc. Jamani, iko ihivi; kuwa Rais wa nchi ni heshima na mamlaka ya juu zaidi kuliko vyeo, sifa, uheshimiwa, au mamlaka nyingine zote. Hivyo, akitajwa kwa cheo chake cha Urais inatosha ...
 
Naona umeamua kuweka misifa ya kijinga ya kibongo. Being a president directly implies Mh; so you don't have to mention it. Hata siku moja hutasikia rais wa US akitajwa eti Hon. XXX; sijui Hon. Prof. XXX; its simply
President Trump; President Obama, President Bush; etc. Jamani, iko ihivi; kuwa Rais wa nchi ni heshima na mamlaka ya juu zaidi kuliko vyeo, sifa,
uheshimiwa, au mamlaka
nyingine zote. Hivyo, akitajwa kwa cheo chake cha Urais inatosha ...

Sijaona point yako hapo, kama huna la kuchangia we soma tu upite
 
Ina maana kuwa wewe unajua sana kuliko senate y US.?

Pia tambua kuwa kwa cheo cha Director wa CIA kuna scrutiny ya hali ya juu inafanyika hata kabla jina la mtu huyo kuwekwa public...

Shida yenu mnaleta akili zenu za kitanzania kwenye US Intelligence community?

Sasa kwa taarifa yako tu mwanajeshi mwenye cheo kidogo tu cha corporal anajua administration vizuri tu... Jeshini ni tofauti kabisa na uraiani ..kule kuna elimu tofauti kabisa
Hoja si kujua hoja ni uzoefu CIA ni taasisi kubwa usilinganishe na TISS ninachozungumzia mm ni uzoefu wa pompeo swala la congress kumpitisha ni jingine wana mahamuzi yao wenyewe mala ngapi hata bungeni vinapita vitu vya kipuuzi ? alafu ww inawezekana ndo ukawa unaleta akili za Kitanganyika za kila mtu aliyeteuliwa na rais ni bora tu kwa vile kateuliwa na rais kuna taasisi zingine ni lazima apatikane mtu mwenye weledi usio na shaka na CV iliyoshiba vizuri kutokana na ukubwa wa taasisi na ukubwa wa majukumu ya taasisi

Pia nadhani ww umjui trump ni mtu mwenye kuamini sana mahamuzi yake na hapendi kupingwa juu ya jambo ameshafukuza mameneja kampeni wawili kisa tu kumshauri trump amemteua mkwe wake kuwa mshauri mkuu wa rais na ikulu coz rais ni cheo office yake ni taasisi amekuwa mshauri mkuu wa maswala ya mashariki ya kati mtu ambae ni zero experience ktk maswala ya diplomasia na mahusiano ya kimataifa Jared kushner na yy pia amepitia chuo kile kile alichopitia pompeo cha Harvard University pia na si kweli wote waliosoma Harvard University ni vichwa mpaka kwenye majukumu yao yani makazini na pia cheo alichopewa bwana jared kinaitaji mtu awe smart thinker si tu great thinker pekee unaweza ukawa great thinker usiwe smart thinker nadhani mnaelewa maana ya smart kitu kinachoitwa smart weledi wake unakuwaje pia jared hana experience yeyote ktk mambo ya diplomasia au mahusiano ya kimataifa yeye anajua biashara tu

Pia trump ana mahamuzi ya kumteua mtu yeyote anayeona anaweza kufnya kazi nae na wenzetu wanaheshimu sana mahamuzi ya Com in chief wao hv nikikuuliza mahamuzi ya trump juu ya mahusiano ya US na Russia ni mahamuzi ya chama au ni yake binafsi? ww unadhani Rep wanataka russia na US wawe na mahusiano mazuri? kumbuka kipindi cha Bush mahusiano yalikuwaje na walitaka hata kupigana ktk mgogoro wa russia na georgia na hakuna kipindi NATO iliimalika kama kipindi cha Bush na bush alipeleka makombora ya ulinzi sana ulaya

Kituko kingine unamlinganisha pompeo na John McCain dah inasikitisha sana hv unawezaje kumlingananisha mtu aliesave jeshini kwa miaka 5 kuanzia mwaka 1986 - 1991 unamlingaisha na mtu aliesave jeshini miaka 23 kuanzia mwka 1958 - 1981 pia unamlinganisha mtu mwenye zero award ktk uwanja wa mapambano na mwenye award zaid ya 6 kwenye uwanja wa mapambano
kuanzia
Silver Star
Bronze Star Medal
Purple Heart
Legion of Merit
Distinguished Flying Cross
Navy Commendation Medal na zingine nying tu

Kwa taarifa yako Mccain ni Mwenyekiti wa Amrmed service committee ndani ya baraza la senate pia alishawai kuwa

Chair of the Senate Indian Affairs Committee
Chair of the Senate Commerce Committee
vyeo vyote hvyo ni ktk baraza la senate

Huyu pompeo ni kama mbuge tu yani Member of the U.S. House of Representatives si senate
Pia unatakiwa kujua wanaowapitisha na kuwasibitisha wateuliwa wa rais ni congress si senate kila idara ina majukumu yake mr pompeo alikuwa mjumbe wa congress kama mwakilishi wa jimbo la Kansas so usichanganye majukumu ya congress na senate
 
Dah kwa mala ya kwanza taasisi namba mbili duniani ya Intelligence Agency kwa ubora baada ya inter - service intelligence (ISI) ya Pakistan ikiongonzwa na msanii na oportunist mr pompeo na ni mala ya kwanza kwa taasisi namba moja ndani ya US ktk zile taasisi zijulikanazo kama "Big five" + 1 inaongozwa na mtu aliyekuwa na cheo kidogo ktk utumishi wake ktk vyombo vya usalama na jeshini

Mr mike ametumikia jeshi kwa muda mfupi sana kuanzia mwaka 1986 - 1991 ni kama miaka 5 tu pia cheo kikubwa alichopata kwa kipindi hiko ni captain tu cheo ambacho ni cha kawaida sana jeshini na hata clearance level unakuwa huna sasa leo anakwenda kupata clearance level number 1 ambayo inamwezesha kuingia ikulu muda wowote anapotaka yy na pia kutembelea gari yenye plate number zijulikanazo kama (six ps )

Jamaa ni mfanyabiashara tu na ndo kitu naona trump anakifanya kujaza wafanyabiashara kwenye Administration yake jamaa anamiliki kampuni ya vifaa vya kijeshi au wanaziitaga defence contractors ijulikanayo kama Thayer Aerospace na ndani ya hyo kampuni kuna kampuni ya ulinzi na usalama na ndio walkuwa walinzi binafsi wa trump kipindi chote cha baada na kabla ya kampeni japo kuwa alikuwa analindwa na secret service 5 wakat wa kampeni na baada ya kushinda aliongezewa ulinzi lakini bada walinzi wa Thayer Aerospace walikuwapo nadhani waliondoka baada ya kula kiapo tarehe 20 na kazi ya usalama na ulnzi wake yy na familia yake yote ikawa mikononi mwa SS

Pia Mr pompeo alikuwa amegombea uwakilishi wa jimbo la Kansas na alishinda kwa 60.6% so naona trump ameamua kumpa shavu kubwa mshikaji wake mh naomba niishie hapo tu

Mkuu six ps ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom