Russia baada ya kuingilia uchaguzi USA Sasa wajipanga kuingilia ujerumani ili kuua NATO.

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,493
50,953
Sasa ni rasmi kwenye ubabe Wa computer mbabe zaidi ni Russia....

Baada ya kuingilia uchaguzi Wa Marekani na kumsaidia Trump kuwa rais Wa 45 ....

Watu wa kazi wameshajipanga kuingilia uchaguzi Wa ujerumani utakao fanyika mwaka huu.....

Halafu walivyo wajanja wanapandikiza Sera zilezile walizopandikiza kwa marekani na mgombea wao Donald Trump........

Sera kuu uko nchini ujerumani kwa Sasa ni Immigrants kama mnakumbuka wale magaidi waliovamia soko la Crismas wameleta mjadala mkubwa sana Wa migration law and regulations nchini Ujerumani wapinzani wanasema Sera za uhamihaji zinatakiwa kufanyiwa mageuzi makubwa.......


Wakati huo Canceller Angle Marker anagombea tena muhura Wa tatu kuendelea kutetea sera zake za kuwaruhusu wahamiaji hasa kutoka Syria.....

Hivyo kwa kuwa ana ushawishi katika umoja wa ulaya kuliko viongozi wote ,mkumbuke pia ndio mfadhiri mkuu Wa umoja huo hivyo ili ili Russia kuua kabisa ushirikiano ni kuchagua kiongozi Wa mlengwa Wa kushoto au kati ili aje kuua Sera za Umoja huo hivyo kuua NATO automatically.. .......

Russia wapo kazini tena wakifanikiwa kwenye hili tena basi watakuwa ndio wababe wa dunia ...
 
Haya ndio mambo tulikuwa tunataka, sio vita za kuuwa watu... Hii vita ya teknolojia nimeipenda sana....hii ndio sayansi
 
Ndoto za urusi ni kuisambaratisha nato hapa kuikumbatia uturuki ambaye ni member wa nato ni mkakati mahsusi wa kuidhoofisha nato
 
Back
Top Bottom