International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Katika kutimiza ahadi zake wakati wa UCHAGUZI Trump muda mfupi uliopita ameweka sahihi Miswaada kadhaa miongoni mwazo ni KUJIONDOA kwa Marekan katika MKATABA wa KIBIASHARA wa Trans Pacific...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Hii imekaa je ktk siasa zetu Tanzania na mabalozi wa marekani hasa ktk MCC waliochonganisha kidogo. ====== Donald Trump has fired all foreign US ambassadors with nobody to replace them He...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Mwanamume aliyelalamikia ugumu wa nyama kwenye mgahawa nusura ageuke kipofu baada ya mpishi alipomrushia pilipili usoni Ripoti zinasema Bw David Evans alikuwa na mkewe Michelle katika hoteli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SIRI YA WHITE HOUSE MAREKANI. Karibia siku nzima nilikuwa nimekaa mbele ya televisheni kushuhidia hatua kwa hatua tukio la kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani ambaye anakuwa ndiye...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
All these endtime pastors. A pastor named Rev.Orinthius Jermaine Simmons, Sir. Of Jacob Chapel Church is being accused of sleeping with a member's wife after the member was arrested and charged...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika uchaguzi uliopita USA katika hali ya kushangaza Wanawake wengi sana wa pia walimpgia kura D.Trump kinyume na matarajio ya maelite ambao walitaka H.Clinton ndiyo awe raisi wa USA! Sasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The church stands as the yardstick for decency simply because it's believed to be a gathering that pleases to God,most church leadership focus on preaching the gospel and so most times. People...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
''The clear lesson for opposition parties and the citizenry in countries with authoritarian leaders is that not only should they forge unity during elections, but also prepare to work with...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
mwanamke mmoja wa umri wa miaka 40 amekamatwa na polisi huko florida nchini marekan kwa kushirikii ngono na vijana wadogo zaidi ya watano ambao hawajavuka umri wa miaka 18 kati ya hao kuna...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Corrected version Chi-unajua tena angekuwa JPM ndio kakosea hapo chacha patashika nguo kuchanika. Tunaomba marejesho maana WTZ wengi hasa wachangiaji wa JF walio USA waliogopa umande, hivyo...
2 Reactions
84 Replies
10K Views
  • Closed
Nimeangalia sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump lakini kilichonishangaza zaidi ni kuona madhehebu ya Kiislam yakitengwa katika sala ya kuliombea taifa na Rais Trump...
24 Reactions
542 Replies
59K Views
Hatimae amekubali kuondoka madarakani baada ya kushawishiwa na Rais wa Mauritania, inasubiriwa atoe statement tu. -- Gambia's new president has said that Yahya Jammeh, who ruled the country for 22...
5 Reactions
210 Replies
22K Views
Ndugu zangu, Januari 19 nilishiriki mjadala kwenye kipindi cha ' Kwa Undani' , Sauti ya Amerika. Mjengwablog imeandaa video iliyoingiza majibu yangu ( Maggid Mjengwa) kwa mwandishi Idd Ligongo wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiondoa Mabepari wa Kizungu ambao ndiyo wako nyuma na huu uvamizi wa nchi ya Gambia, watu baki wanajuliza maswali magumu na wankosa majibu! Nchi ya Gambia ni nchi huru na inayojitegema...
14 Reactions
243 Replies
17K Views
Kwa taarifa zilizothibitishwa ni kwamba aliyekuwa rais wa Gambia ameondoka kwenda kuishi nchini Guinea. Chanzo kinaeleza kuwa rais huyo mstafu mwenye wasifu mwingi kushinda rais mwingine yeyote...
8 Reactions
120 Replies
16K Views
Watu zaidi ya 18 wamefariki kutokana na kimbunga kikali na hali mbaya ya hewa kusini mwa Marekani, maafisa wa uokoaji wamesema. Watu wengi wamejeruhiwa. Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ni majimbo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajeshi wa Senegal wako kwenye mpaka wa nchi hiyo na Gambia na wataingia Gambia iwapo Rais Yahya Jammeh hataondoka madarakani ifikapo saa sita usiku, hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la...
6 Reactions
100 Replies
9K Views
8 Reactions
120 Replies
13K Views
Baada ya Donald Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 taifa kubwa la Marekani hebu tuangalie athari ya uongozi wake kwa dunia hii. Marekani kama taifa kubwa duniani kijeshi na kiuchumi ilikuwa mstari wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu ninavyoona mimi very soon United States ofAmerica itakuwa failed state na majimbo yote ya USA kutawanyika kama ilivyotawanyika majimbo ya USSR kwa sababu zifuatavyo: 1. Kushindwa...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Back
Top Bottom