Donald Trump aagiza uchunguzi wa Wizi wa kura uliofanywa Obama na Clintons!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kuna watu wengi ambao hawakupaswa kupiga kura walipiga kura kwenye Uchaguzi wa USA uliopita kulingana na maelezo ya Raisi wa USA, D.Trump ikiwa ni pamoja na wahamiaji haramu na watu waliokufa, sasa Raisi wa USA ameagiza uchunguzi ufanyike!

,,I will be asking for a major investigation into VOTER FRAUD, including those registered to vote in two states, those who are illegal and....even, those registered to vote who are dead (and many for a long time). Depending on results, we will strengthen up voting procedures"- D.Trump!

usaArtikelbild.jpg

===

Apparently in response to the questions about why there were no calls for a voter-fraud investigation on Tuesday, Trump on Wednesday morning tweeted that he will indeed call for one.
I will be asking for a major investigation into VOTER FRAUD, including those registered to vote in two states, those who are illegal and....
— Donald J. Trump (@realDonaldTrump) January 25, 2017
even, those registered to vote who are dead (and many for a long time). Depending on results, we will strengthen up voting procedures!
— Donald J. Trump (@realDonaldTrump) January 25, 2017
It's the first indication he's given that he'll actually push for a review of his baseless claim that 3 to 5 million people voted illegally in 2016. Below, I wrote Tuesday about how the lack of a call for an investigation was a conspicuous one for Trump -- and one that could work against him.

White House press secretary Sean Spicer had no good answer for one important question Tuesday.

After several reporters tried (and largely failed) to nail Spicer down on the source for President Trump's bogus claim that between 3 million and 5 million people voted illegally in the 2016 election, NPR's Mara Liasson got to the root of the matter: If Trump truly believes there were so many illegal votes, she asked, why hasn't he called for investigations?

Spicer tried to deflect and restate his previous boilerplate answer — that Trump believes what he believes — but Liasson pressed him. Eventually, Spicer granted that "Maybe we will [investigate]."

Later on, NBC's Hallie Jackson tried again, and Spicer said: "We're here on Day Two. I think let's not prejudge what we may do in the future."

And then NBC's Kristen Welker tried again. Spicer assured that he was only speaking hypothetically about a possible investigation. And then Spicer, as he had before, quickly tried to move on. "It's been asked and answered," he assured Welker, and called on the next reporter.

Once you get past the lack of a factual basis for Trump's strange and incredible claim, this is what really doesn't make sense about it. Trump is alleging that as many as 3.6 percent of the votes cast in a 2016 contest decided by even fewer votes may have been illegitimate. He's saying the number of illegal votes may have been larger than the populations of 38 states. He's saying that as many as 30 to 40 percent of the estimated 11 million undocumented immigrants in the United States cast ballots.

If that's even close to true, it's a massive, unprecedented electoral scandal that requires investigations to, if nothing else, prevent it from happening again. And that would seem to be something Trump, with his hard-line policy on illegal immigrants and pre-election warnings of large-scale voter fraud, should clearly support. The idea that Trump would truly believe this but not investigate it as one of his first priorities makes precisely zero sense.

It also, as I wrote the last time Trump went down this road, inherently risks calling into question his own win and whether there should be a recount. Trump won by fewer than 80,000 combined votes across three states — Michigan, Pennsylvania and Wisconsin — and if there really were 5 million illegal votes, who knows what that would mean?

I was being somewhat facetious, especially since immigrants tend to lean to the left politically and undocumented ones probably wouldn't have voted for Trump (for obvious reasons). It's not hard to make an argument that their votes, if they had actually existed, would have benefited Clinton.

But if this level of voter fraud were truly possible in American elections, who knows what else might have occurred:
If the system was susceptible to the kind of pro-Clinton fraud that Trump is alleging, who is to say that it wasn’t also susceptible to manipulation that might have benefited Trump? Trump’s argument is that our electoral system was vulnerable to all kinds of shenanigans that could have changed the results in specific states. Why not shenanigans instigated by Russia, which experts say aided Trump during the campaign with fake-news propaganda? Or something else? There is also no evidence of this, but apparently evidence is not required for our next president to make a charge.
Trump is alleging that these shenanigans ... accrued to Clinton’s benefit, but if our system has so many holes in it, why couldn’t those holes have helped Trump in the states that mattered? If illegal immigrants can vote and there was real voter fraud in states such as California, New Hampshire and Virginia, why couldn’t these things have happened in circumstances and places that didn’t hurt Trump? Why not in Michigan, Pennsylvania and Wisconsin, where Trump won the presidency by a margin of about a point or less? If the system is that shoddy, it’s probably shoddy everywhere.
Trump is trying to have it both ways here. He wants the perception of voter fraud to cast doubt on his popular vote loss. But he doesn't want the parts where he has to actually investigate it (which could prove his claim was complete nonsense) or to actually call into question his electoral college win.

CNN's Jeff Zeleny asked Spicer toward the end of Tuesday's session how Trump can be confident in his win, given that massive alleged voter fraud. "What does that mean for democracy?"
"It means I've answered your question," Spicer responded.

But he hadn't, because he really couldn't. At least, not in a way his boss would be happy to hear.

Donald J. Trump (@realDonaldTrump) | Twitter
 
Trump ni mpumbavu.

Kashinda uchaguzi kwa kura chini ya 100,000 katika mfumo wa "electoral college".

Kwenye popular vote kashindwa kwa kura 3,000,000.

Kuanza kupanda mbegu ya mashaka kuhusu uchaguzi ulivyofanyika hakuwezi kuacha kuweka shaka juu ya uhalali wa uchaguzi wake.

Kama anaona uchaguzi haukwenda kihalali, aagize tume ichunguze urudiwe basi,
 
Hahah Trump mpumbavu, wewe unauelewa mfumo wa USA klk Raisi wa USA?
 
Hahah Trump mpumbavu, ila chadema wanaolalamika kuibiwa kura wajanja siyo? Au kwa kuwa mmoja Mzungu mwingine Mwafrika?
Wapi nimesema lolote kuhusu CHADEMA ?

Halafu CHADEMA washawahi kulalamika kuibiwa kura za urais baada ya kushinda urais?
 
Wapi nimesema lolote kuhusu CHADEMA ?

Halafu CHADEMA washawahi kulalamika kuibiwa kura za urais baada ya kushinda urais?

Hahah Trump mpumbavu, wewe unauelewa mfumo wa USA klk Raisi wa USA?
 
Hahah Trump mpumbavu, wewe unauelewa mfumo wa USA klk Raisi wa USA?
Uelewa wa kitu hautokani na cheo ulichonacho.

Mantiki ya maneno yangu ni kwamba hutakiwi kukata tawi ulilokalia, utaanguka.

Hutakiwi kuupandia mashaka uchaguzi uliokuchagua, ama sivyo utatakiwa urudie uchaguzi.
 
Trump ni mpumbavu.

Kashinda uchaguzi kwa kura chini ya 100,000 katika mfumo wa "electoral college".

Kwenye popular vote kashindwa kwa kura 3,000,000.

Kuanza kupanda mbegu ya mashaka kuhusu uchaguzi ulivyofanyika hakuwezi kuacha kuweka shaka juu ya uhalali wa uchaguzi wake.

Kama anaona uchaguzi haukwenda kihalali, aagize tume ichunguze urudiwe basi,

Umeelewa kilicho andikwa hapo mkuu ?
Hapo kwenye popular votes ,3,000,000 ndio kuna weza kuwa na wahamiaji haramu na watu waliokufa
 
Uelewa wa kitu hautokani na cheo ulichonacho.

Mantiki ya maneno yangu ni kwamba hutakiwi kukata tawi ulilokalia, utaanguka.

Hutakiwi kuupandia mashaka uchaguzi uliokuchagua, ama sivyo utatakiwa urudie uchaguzi.

Unajuaje labda anajua ambacho mimi na wewe au Dunia nje ya mfumo wa USA haikijui, isitoshe kama kuna ushahidi labda itasaidia chaguzi zijazo na ndiyo maana uchunguzi unafanyika, uchunguzi siyo hitimisho kwani unaweza kuja na jibu kwamba siyo kweli hakukuwa na wizi au ukabaini wizi na hatua zaidi kuchukuliwa, binasfi sioni tatizo hapo!
 
Umeelewa kilicho andikwa hapo mkuu ?
Hapo kwenye popular votes ,3,000,000 ndio kuna weza kuwa na wahamiaji haramu na watu waliokufa
Ripoti za haya mambo zinasema katika mamilioni ya watu wanaopiga kura, kura takriban billion moja katika chaguzi za miongo kadhaa, voter fraud imeonekana mara 31 tu.

28 things to remember about Trump’s ‘investigation into voter fraud’

8. One study found 31 credible incidents of fraud out of 1 billion votes cast over a decade nationally.

Ndiyo maana nasema huyu jamaa ni mpumbavu.

Kashashinda, Akubali ushindi tu. Akianza kusema kura zina matatizo maana yake atawapa nguvu wanaosema uchaguzi urudiwe.
 
Unajuaje labda anajua ambacho mimi na wewe au Dunia nje ya mfumo wa USA haikijui, isitoshe kama kuna ushahidi labda itasaidia chaguzi zijazo na ndiyo maana uchunguzi unafanyika, uchunguzi siyo hitimisho kwani unaweza kuja na jibu kwamba siyo kweli hakukuwa na wizi au ukabaini wizi na hatua zaidi kuchukuliwa, binasfi sioni tatizo hapo!
Kwa hiyo utetezi wako wote umejikita katika habari ya "labda" ?
 
Back
Top Bottom