Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kila siku tunaambiwa na Chadema &Co. kwamba Raisi wetu P.Magufuli ni
,,one man show", sasa nauliza Je, Raisi wa USA mpaka sasa siyo one man show? Vipi kuhusu ,,strong man"? Je Trump mpaka sasa siyo strong man? Kwa maana kuna watu kila siku wanatupa lecture zao wanazotoa CNN sijui Obama alisema kwamba Africa does not need strong man, sasa mbona USA ina strong man? Kwa maana mpka sasa hivi Trump anatawala kwa kutumia executive order tu, ameamrisha ukuta uanze kujengwa, amezuia Wahamiaji ktk nchi zenye matatizo na Ugaidi, ameamrisha Wahamiaji haramu warudi kwao n.k sasa Je huyu siyo strong man?