Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewaweka Lockap Mashoga wawili waliotaka kufunga ndoa na kuahidi kuwa atawaachia huru mara tu mmoja wapo atakapopata Mimba.

mugabe-locks-couple-promised-release-pregnant/

========

President of Zimbabwe, Robert Mugabe has decided to lock up two men who are intentionally practicing homos*xuality.

According to a Twitter user, the Zimbabwean correctional services ZPS under the instruction from the President locked up the Gay Couple who wanted to get married in Zimbabwe, promising to release them when one of them gets pregnant.

“Zimbabwean laws abhor homosexuality of any kind.”

Source: newsdaily.co.za
 
homosexuallity is never a big deal.

kwanza huyo mugabe ni mahakama?

maana yake nini mugabe kawafunga mashoga?

this is tyrannical.

ni nani mugabe katika Mahakama???

is he in anyway a chief justice?
Ukiwa na akili ya kipuuzi kama waliosweka ndani huwezi kujua Mugabe ni nani.Kwa sisi wengine Mugabe ni baba wa nyumba anayejua majukumu yake.Asiyetegemea jirani zake watamwonaje ila anayeelewa anataka kuiongozaje nchi yake.Dunia inamjua Mugabe ni jongwe.

Hongera Robert Gabrile Mugabe.Wasilalamike tu waende wakaishi kwa wajomba zao wanaohimiza na kutetea uozo huo,maana wanaamini kuwa hata aliyewaumba alikosea kutuumba tulivyo.
 
Ni nani Mugabe katika mahakama?
 
Ukiona mtu inamuuma ujue tuu!
hakuna inayemuuma hapa.

tunataka hivi vielementi vya kizuzu vya watu wenye bongo butu zenye kutu viishe, au tuvilazimishe tu viishe kama ikibidi.

the president has no judicial powers to arrest and lock people like rats the way your imbecile fellow has just done.

you will exercise that tyranny with your fellow senseless animals when we are not alive.

rubbish.
 
hakuna inayemuuma hapa.

tunataka hivi vielementi vya kizuzu vya watu wenye bongo butu zenye kutu viishe, au tuvilazimishe tu viishe kama ikibidi.

the president has no judicial powers to arrest and lock people like rats the way your imbecile fellow has just done.

you will exercise that tryranny with your fellow senseless animals when we are not alive.

rubbish.
Mkubwa vipi kwani?.
Mbona unatumia nguvu nyingi kiasi hicho!?.
 
Ni nani Mugabe katika mahakama?

Mahakama ya nchi gani? Zimbabwe,Uingereza au Marekani.Swali lako ni sawa na mtu anayeuliza nyumbani kwake au kwao kama bado upo nyumbani kwa wazazi wako' nani mkuu wa nyumba hapa". Ndiye anayesaini sheria zote za Zimbabwe zinazopitishwa na bunge la Zimbabwe ili ziwe halali,nisaidie kujibu swali lako sasa Mugabe ni nani katika mahakama ( za Zimbabwe). Shikamoo Mugabe.
 
no wonder.

an animal is always an animal.

hakuna protocal, anakunya na anakula alichokunya.
 
Back
Top Bottom