International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kuna uwezekano Israel ikimuachia US apambane mwenyewe vita itakuwa kama ya Russia na Ukraine, haiishi ni milipuko tu ya kujibizana. Tofauti na Kama Israel ikiingilia kati. Huenda ndiyo sababu...
4 Reactions
11 Replies
325 Views
Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia...
3 Reactions
31 Replies
268 Views
Wanaukumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Arakçi: "Misri inatoza kati ya $200,000 na $700,000 kwa kila njia inayopitia Mfereji wa Suez; kwa meli kubwa za makontena au meli za mafuta...
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, kupitia msemaji wake Bayo Onanuga, ametangaza hatua hiyo kubwa ya kiusalama ikienda sambamba na juhudi zinazoendelea za kuajiri askari polisi. Amethibitisha ajira...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Ninaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo. Wakati huo huo, ving'ora vya...
2 Reactions
18 Replies
376 Views
Msanii wa India, PK Mahanandia, alikutana na Charlotte Von Schedvin katika jioni ya baridi mjini Delhi mwaka 1975, baada ya Charlotte kumwomba amchoree picha yake ya uso. Kilichoanza kama ombi la...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
  • Redirect
Nchi 125 Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York kupiga kura ya siri ya kuamua hatma ya...
1 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu mpya wa Uingereza aliyeapishwa hivi karibuni, Andy Burnham, ameidhinisha Marekani kutumia vituo vya kijeshi vya Uingereza kwa mashambulizi dhidi ya Iran, ikiwa ni mkakati wa kujihami...
2 Reactions
23 Replies
675 Views
Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
9 Reactions
40 Replies
910 Views
Shirkika la habari la Marekani - CNN limeripoti kwamba, bei ya mafuta imepaa kufikia $100 kwa pipa moja Hii ni baada ya Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis, kutangaza kufunga...
2 Reactions
7 Replies
214 Views
Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
3 Reactions
7 Replies
148 Views
Ndege ya shirika la Enugu Air iliteleza na kutoka nje ya barabara ya kurukia baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Benin siku ya Alhamisi, Julai 24. Tukio hilo lilisababisha taharuki miongoni...
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Takriban watu 20 wameuawa baada ya magenge yenye silaha kuvamia vijiji vya Jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria, kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP. Mwakilishi wa Wilaya ya Sauna...
0 Reactions
3 Replies
89 Views
Watch this Space Hakuna maelezo mengi, mwenye kujua atachangia, kama hujui kitu, kafe mbele, usilite ulugaluga na uporipori wako hapa......... cc Xi Jinping
3 Reactions
23 Replies
577 Views
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la Financial Times la Marekani, imenukuu utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri wa kimkakati duniani Ernst & Young-Brexit, ikisema kama Marekani, Umoja...
5 Reactions
8 Replies
262 Views
Maandamano nchini India yamechukua sura mpya baada ya mmoja wa waandamanaji kulipanda gari la polisi la maji ya kuwasha na kuligeuzia maafisa wa usalama wakati wa jitihada za kutawanya...
2 Reactions
0 Replies
128 Views
Wengi wetu hatufahamu hili, lakini ukweli ni Kwamba Chama cha Trump ni cha Republican ni Chama cha Mabeberu na wanachama wa hiki Chama ni Matajiri Sana. Sasa ufisadi wa hichi Chama huwa ni lazima...
3 Reactions
18 Replies
325 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Tunisia,Rached Ghannouchiamepoteza fahamu kwa muda akiwa katika Gereza la Mornaguia kutokana na wimbi kali la joto linalokadiriwa kufikia nyuzi 52 za Selsiasi. Tukio...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
South African activist Jacinta Ngobese-Zuma has called for the release of Zimbabwean activist Bhekimpilo Mbedzi, urging President Emmerson Mnangagwa’s government to respect citizens’...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…