Iran intercontinental ballistic missile kupiga USA

Iran intercontinental ballistic missile kupiga USA

Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
Hahahaha wenzako washaanza kutoa milio huko

Mohsen Rezaee, a senior Iranian military advisor, has warned that if the US continues bombing Iran, Tehran will escalate into full-scale war. Rezaee says so far, Iran has limited its retaliations, but this won’t last for long.
 
irani hana teknologia yake msidanganyane, hiyo shahed yenyewe wanayotamba nayo teknolojia ni ya ujerumani, amefanya tu copy&paste, sasa kama ame-reengineer technology ya ujerumani unafikiri wao west hawana uwezo zaidi ya irani? ...
 
Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji

Hizi ndio Habari njema sasa.
Sio ule utoto wanaoufanya huko kwa waarabu.

Piga New York au Washington DC. Hata ukishindwa unakuwa umeshinda kishujaa.

Wajue tuu Marekani akipigwa kwenye ardhi yake, atadhihirisha maana halisi ya ukafiri. Hilo wakae nalo kichwani
 
Hawa jihadists ndio zao hizo waliwahi kutunga taarifa ya uongo huko masjid ubwabwa kwamba Netanyahu alikuwa amekufa tena kwa kukaza macho kabisa lakini hadi leo hii tunamuona Netanyahu akingali hai...!!!!

Sasa hata hii ya kwamba Iran itaishambulia moja kwa moja Marekani kwa ICBM pia itakuwa ni zile zile tamthilia za masjid ubwabwa.
**************************************
No, Iran cannot currently attack the United States mainland with an intercontinental ballistic missile (ICBM), as it does not possess missiles with the required 5,500+ kilometer range.Tehran’s most advanced operational ballistic missiles, such as the Khorramshahr and Shahab-3 series, are limited to a maximum range of roughly 2,000 kilometers. While Iran has space launch vehicles and rocket technologies that could theoretically be adapted for longer-range missions, U.S. intelligence assesses that a militarily-viable ICBM remains years away.
*************************************
 
Acha Tuone Ingawa Dunia Sasa Imepatwa Haitatulia Tena
 
Hahahaha wenzako washaanza kutoa milio huko

Mohsen Rezaee, a senior Iranian military advisor, has warned that if the US continues bombing Iran, Tehran will escalate into full-scale war. Rezaee says so far, Iran has limited its retaliations, but this won’t last for long
Hata kiingereza hujui mbwa wewe.
Wacha tukutafsirie.
"Kama marekani itaendelea kuishambulia Iran basi Iran itaanzisha vita kamili. Rezae amesema kwamba kwasasa Iran imeweka mipaka kwenye kujibu mashambulizi ila hilo halitadumu muda mrefu".
Hapo kutoa milio ni wapi Iran ametoa milio!? Mkiambiwa msomw hamtaki.
 
Hizi ndio Habari njema sasa.
Sio ule utoto wanaoufanya huko kwa waarabu.

Piga New York au Washington DC. Hata ukishindwa unakuwa umeshinda kishujaa.

Wajue tuu Marekani akipigwa kwenye ardhi yake, atadhihirisha maana halisi ya ukafiri. Hilo wakae nalo kichwani
Hivi unadhani Iran imekaa kizembe bob haijajiandaa!??
Embu chukulia mfano tu wa vita ya 1980 iliyoisha 1988 ni nani ambaye alidhania Iran ingestahimili vita miaka nane ikiwa dhaifu kiuchumi na kijeshi!??
Hii Iran mwaka huu itawashangaza sana idharauni hivyo hivyo.
 
Hata kiingereza hujui mbwa wewe.
Wacha tukutafsirie.
"Kama marekani itaendelea kuishambulia Iran basi Iran itaanzisha vita kamili. Rezae amesema kwamba kwasasa Iran imeweka mipaka kwenye kujibu mashambulizi ila hilo halitadumu muda mrefu".
Hapo kutoa milio ni wapi Iran ametoa milio!? Mkiambiwa msomw hamtaki.
Hahaahha nyani
 
Iran hana jeuri hiyo anajua kitakachofatwa ni kufutwa kwenye uso wa dunia......Muhuni pekee aliyewaweza Wamerekani kuwapiga kwenye ardhi yao ni Osama peke yake......na tulishuhudia balaa kwenye kumtafuta...walikua hawaulizi wakipata tu tetesi hata kama ni milimani watalipua mlima wote
 
Back
Top Bottom