International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

"Mimi ni Mwislamu, lakini kila mtu nchini Burkina Faso ana haki ya kufuata dini yake mwenyewe. Hakutakuwa na shariah law katika nchi hii. Kwa wale Waburkinabe wanaosoma sheria ya Sharia nchini...
43 Reactions
108 Replies
2K Views
Zimbabwe says it is earning significantly more from its mineral resources after introducing a ban on the export of unprocessed minerals, a move aimed at keeping more value within the country...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Mahakama nchini Ghana imemhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kumpata na hatia ya uchimbaji haramu wa madin, ikiwa ni kesi kubwa zaidi kuwahi kutolewa uamuzi...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili...
29 Reactions
83 Replies
2K Views
Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho...
4 Reactions
44 Replies
895 Views
Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa...
4 Reactions
27 Replies
485 Views
Timu za madaktari wa China zimekuwa msaada mkubwa kwa afya ya jamii katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Katika nchi nyingi za Afrika, licha ya changamoto za lugha, madaktari hao...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa...
8 Reactions
16 Replies
412 Views
Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka...
7 Reactions
8 Replies
316 Views
Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni. Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado...
4 Reactions
19 Replies
420 Views
Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan Ving'ora vya kuashiria hatari...
4 Reactions
8 Replies
403 Views
Air Zimbabwe has taken a major step towards restoring its long-haul international operations after its Airbus A330-300 officially arrived at Robert Gabriel Mugabe International Airport ahead of...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
  • Redirect
6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS) MTONI-KIJICHI USHUANI GHOROFA INAUZWA BEI; MILLIONI 650 SQM 1.500 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #tiles #realestate #tanzania
1 Reactions
Replies
Views
Zimbabwe’s ruling party, ZANU-PF, has started holding nationwide “thank you” rallies to celebrate the passing of Constitution Amendment Bill No. 3 (CAB3), using the gatherings to appreciate...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
  • Featured
Chimurenga music legend Thomas “Mukanya” Mapfumo has defended his decision to accept a US$1 million performance offer from businessman Wicknell Chivayo, saying the deal does not mean he has...
4 Reactions
10 Replies
830 Views
Urusi lazima iheshimike. Huu sio msaada wa kwanza kutoka kwa NATO kwenda kwa Ukraine. Kiuhalisia Urusi peke yake imekua ikipigana na NATO pamoja na mataifa mengine ambayo sio NATO na imeweza...
4 Reactions
69 Replies
1K Views
Kuna majuha huwa wanaipigia chapuo serikali ya Ayatollah huko Iran, wakati kiuhalisia Serikali hiyo ndiyo inayoongoza kwa kunyonga wananchi wake. Kumwua binadamu mwenzako ni ukatili, lakini kumwua...
0 Reactions
18 Replies
328 Views
Taarifa iliyotolewa Juali 20, 2026, na Ofisi ya Waziri Mkuu Singapore imeeleza kuwa , Kaimu Waziri anayeshughulikia Masuala ya Waislamu nchini Singapore, Faishal Ibrahim, amejiuzulu nafasi yake ya...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Siku ya jana Julai 18, 2026, Jiji la New York lilikumbwa na mafuriko baada ya dhoruba kali ya radi, ikisababisha viwango vya juu vya unyevu hewani ambavyo si vya kawaida. Sehemu kadhaa za jiji...
1 Reactions
20 Replies
419 Views
Back
Top Bottom