Naam! Ni wahusika tuu ndo wanaolengwa. Wengine wasiohusika wanaachwa waendelee na shughuli zao. Majeshi ya Israel wanatumia weledi wa kiwango cha juu sana katika OP zao.Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
Hakika. Hacheki na kima.Israel anajua ku deal na Magaidi
Ila yupo jamaa aliwaambia kwamba kitendo wanachoshangilia ni Umauti kwao - hawakuelewa. Na mbado ni mpaka akili ziwakae sawa.Yalivyokuwa yanashangilia ile oct 7 yalijua hayafikiwa ujinga mzigo.