International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

  • Redirect
Waziri wa Ulinzi wa Israeli alisema lengo kuu linalofuata la Israeli ni kufikia ubora wa mashambulizi na ulinzi katika anga za juu, akisema kwamba faida za kitamaduni kama vile eneo na ukubwa wa...
6 Reactions
Replies
Views
Wakati wa kipindi chake kama Rais wa Afrika Kusini, Zuma alitumia waziwazi historia yake ya uhamishoni kulaani chuki dhidi ya wageni (xenophobia). Hata hivyo, msimamo wake wa sasa wa kisiasa...
9 Reactions
61 Replies
874 Views
Bunge la Senegal limepitisha marekebisho ya Katiba yanayoleta mabadiliko makubwa ya kiutawala yenye lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji na utawala wa sheria. Chini ya sheria mpya: Rais wa...
2 Reactions
1 Replies
101 Views
Hii sijui tutaipokeaje sisi makobaz wa Tandale kwa Tumbo na Buguruni kwa Mnyamani, huku Manzese kwa MfugaMbwa mpaka Mabibo Majimatitu hali yetu mbaya sisi Kobaz...
1 Reactions
7 Replies
246 Views
Meja Generali Polisi Feroz Khan, ambaye amesimamishwa kazi kama naibu mkuu wa kitengo cha ujasusi wa makosa ya jinai, alijeruhiwa katika shambulio hilo la Juni 28, 2026, akiwa njiani kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa...
3 Reactions
29 Replies
376 Views
Wanaukumbi. Rais Trump anasema jaribio lolote la kutoza ada za usafiri kwa meli zinazopita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz "halitakubalika" na linaweza kuhatarisha mazungumzo yanayoendelea na...
2 Reactions
48 Replies
635 Views
Muda huu Marekani wanaofanya mashambulizi ya anga ya mabomu mazito makubwa huko kusini mwa Iran. Uzuri wa marekani walisema kuwa watakua wanashambulia Iran Kila watavyoamua🤣🤣 Kesho wale viongozi...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Juni 24, 2026, Seneti ya Zimbabwe imeidhinisha mabadiliko ya katiba yatakayofuta mfumo wa wananchi kumchagua rais moja kwa moja na kuongeza muda wa kukaa madarakani kwa kiongozi wa nchi hiyo, rais...
1 Reactions
9 Replies
226 Views
Niaje waungwana Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi...
7 Reactions
34 Replies
979 Views
Kufuatia maagizo kutoka kwa mamlaka ya Lebanon, mabango yenye Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, pamoja na marehemu baba yake ambayo yalikuwa yamepangwa barabarani kuelekea Uwanja wa Ndege...
4 Reactions
7 Replies
217 Views
Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa...
15 Reactions
112 Replies
1K Views
Wanasiasa 47 ikiwemo wabunge, na maafisa nchini Iraq wamekamatwa kufuatia msako mkali uliofanywa alfajiri na vikosi maalum vya usalama katika mji mkuu, Baghdad. Kwa mujibu wa vyombo vya habari...
1 Reactions
0 Replies
97 Views
My Take Naunga mkono Kauli ya Marais wetu kuhusu hao Mabeberu ambao wameweka mapandikizi Yao huku Africa Kwa jina la Wapinzani na Wanaharakati. Hao Beberu wanaua raia wasio na hatia kwenye Nchi...
5 Reactions
32 Replies
425 Views
Watu wasiopungua 188 wamefariki na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyofuatana nchini Venezuela, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde. Waokoaji wanatafuta kwenye...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Hivi hawa Israel hiki kiburi na ubabe wanatoa wapi? Mi mpaka nashangaa.... Kataifa kadogo lakini kanatembeza kichapo kakiamua ile mbaya Hakaogopi Dunia inasemaje. Kanaangalia kenyewe kanatakaje...
2 Reactions
19 Replies
491 Views
Jeshi la anga la Israel likivinjari katika anga la Lebanon likivipiga vituo vya magaidi wa Hezbollah!!
1 Reactions
14 Replies
250 Views
Moja kwa moja .. Siku ya Jumamosi, Trump alisema kuwa waziri mkuu wa Italia Mwanamama Meeloni kuwa "anafanya vibaya nchini Italia kulingana na kiwango chake ya umaarufu." Pia alimtuhumu kwa...
5 Reactions
21 Replies
540 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika taarifa yake kwa Kiajemi: Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani, hivi karibuni amekuwa akituma vitisho vingi dhidi ya Israeli...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Magaidi watatu waliangamizwa katika shambulio la IDF kwenye gari aina ya jeep katika kambi ya Al-Mar'azi, katikati mwa Ukanda wa Gaza leo.
1 Reactions
2 Replies
95 Views
Back
Top Bottom