International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wadau hii sio habari nzuri hata kidogo Huko Nchini Australia Wananchi Wamepiga kura Kwa Wingi wa 61.6% Kuruhusu mapenzi ya jinsia moja. Mara baada ya matokeo kutangazwa wananchi sehemu mbalimbali...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Madaktari nchini China wamefanikiwa kubadilisha kichwa kutoka kwenye mwili wa MAITI moja na kuuweka kwenye mwili wa MAITI nyingine, Wanaamini kabisa inawezekana kuweka kichwa kingine kwa mtu...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Zimbabwe President Robert Mugabe has refused to eat since Saturday in a protest against his house arrest Mugabe's nephew Patrick Zhuwao said on Saturday that Mr Mugabe was 'willing to die for what...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni mwezi mmoja tangu ndege aina ya helkopta iliyokuwa imeanguka ziwani Nakuru imeondolewa ambapo ilichukua juhudi za mashirika kadhaa kufanikisha hilo. Katika tukio lililoshuhudia ndege aina ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hali ya sintofahamu inazidi sambaa nchini Zimbabwe tokea Makamu wa Rais afukuzwe madarakani na Rais Mugabe >> Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais Jeshi la nchi hiyo limeanza...
16 Reactions
1K Replies
145K Views
Habari wanaJF, Nimeona ni vyema nikawapitisha kwenye wasifu mfupi wa ndugu Emmerson Mnangagwa ambaye anatajwa sana hivi sasa katika mgogoro wa kisiasa unaondelea katika nchi ya Zimbabwe...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
TANZIA: Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Hispania, José Manuel Maza amefariki akiwa nchini Argentina alikokwenda kwaajili ya kuhudhuria mkutano. > Atakumbukwa kwa kupinga vikali mchakato wa kujitenga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kenya kuna namna walivyoshughulikia uchaguzi wao na Zimbabwe kuna vile walivyoshughulikia utawala wao. Ni nini tunajifunza kutokana na matukio haya mawili?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ana miaka 32 tu. Ni jumamosi iliyopita kawakamata top figure nchini Saudi Arabia Na kuwasweka ndani miongoni mwao mabilionea Al Waleed Na maafisa was ngazi za juu jeshini kwa kashfa za kifisadi...
20 Reactions
123 Replies
27K Views
Wadau Habarini. Natoa tu mtizamo wangu kuhusu hali ya kisiasa Zimbabwe. Kiuhalisia kilic hotokea ni mapinduzi ya Kijeshi. Hata hivyo hakuna namna Serikali 'mpya' inaweza kuongoza nchi hiyo na...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Zimbabwe Nyuma Ya Pazia: Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake? Ndugu zangu, Picha hiyo imeishangaza dunia. Kwamba Rais aliyepinduliwa na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani ' House...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
KUTOKA ZIMBABWE: Rais Robert Mugabe ahudhuria sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria. > Hii ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kujitokeza tangu kuanza kuenea kwa taarifa kuwa Jeshi...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Wiki mbili baada ya mmarekani Martha o, Dovan alikamatwa kwa kumtukana MUGABE. NA daily express in a report Mugabe alikuwa na urafiki wa ajabu na Kim as north Korea . Mugabe alipeleka wanyama na...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Source: BBCSwahiliRadio Omar Alli Bashir Rais wa Sudan Asema Viongozi wa Sudan ya Kusini Wanapaswa kufikishwa mahakamani ya uhalifu wa Kivita, The Hague Maajabu ya Dunia, Anawanyoshea kidole...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Washington (CNN)Senate judiciary Chairman Chuck Grassley and ranking member Dianne Feinstein sent a letter Thursday requesting more information on President Donald Trump's son-in-law and adviser...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amegomea upatanishi na kusema atabakia kuwa mtawala pekee halali wa taifa hilo. Amegomea mazungumzo yaliyoendeshwa na padri wa kanisa katoliki nchini humo Fidelis...
1 Reactions
147 Replies
17K Views
Mugabe resists pressure to resign as detention pictures emerge Calls also grow for Zimbabwe’s military to lay out its plan two days after it confined 93-year-old president to Harare residence...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mugabe akiwa kizuizi cha nyumbani kwake, akiwa anafurahi jambo na mkuu wa majeshi Constantino Chiwenga (anaeongoza mapinduzi ya kijeshi nchin humo -Zimbabwe). Kweli haya na mapinduzi ya aina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We demand respect for the Constitution, a return to order, says AU chief Alpha Conde The head of the African Union said on Thursday that the body “will never accept the military coup d'etat” in...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…