Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Super dictators of Africa
!!! Terra
Akae 40 kabisa
Kuna bibi mmoja namheshimu sana kwenye mambo ya kutafsiri ndoto, alicho nitafsiria kuhusiana na kusudio la mleta thread nimehizunika, baada ya miezi 2 mleta thread hatakuwa na ule uanaume wake wa asili so sadKamwambie bibiako akutafsirie ndoto yako
Nna watoto 4 hata ukiondoka poa tu..Kuna bibi mmoja namheshimu sana kwenye mambo ya kutafsiri ndoto, alicho nitafsiria kuhusiana na kusudio la mleta thread nimehizunika, baada ya miezi 2 mleta thread hatakuwa na ule uanaume wake wa asili so sad
Hawa bado wapo madarakaniUmemsahau gaddafi
Hivi kweli unaamini hilo?Wamekaa mda mrefu sababu bado wanakubalika na wananchi wao na si kwa sababu ya nguvu za kijeshi,hakuna jeshi lolote duniani liwezalo kupambana na wananchi wakiamua kumkataa kiongozi wao.