International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mgogoro wa kati ya Iran na Saudi Arabia unakaribisha vita vikubwa sana mashariki ya kati. Marekani na Israel kwa kumtumia Mwana Mfalme Mohamed Bin Salman kijana mwenye miaka 32 ambaye asiyekuwa na...
4 Reactions
32 Replies
9K Views
Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takribani watu 33 wamefariki katika ajali ya treni. Ajali hiyo imetokea katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba. Taarifa kutoka Radio Okapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tetemeko la ukubwa wa 7.3 katika vipimo vya richa limekumba eneo la kaskazini mwa Iran na Iraq na kuua watu kadha. Takriban watu 129 waliuawa katika mkoa ulio magharibi mwa Iran wa Kermanshah...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwalimu wa somo la Mapishi katika shule ya Sekondari ya St. Charles High School mjini Maryland nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumtongoza na kumtumia picha za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ambaye yuko nchini Saudi Arabia katika ziara isiyopanga, amesema atasisitizia umuhimu wa utulivu nchini Lebanon, katika mazungumzo yake na na viongozi wa nchi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Shahidi tatanishi aliyedai kushuhudia ajali mbili tofauti chini ya mwezi mmoja ikiwemo iliyotokea barabara ya Thika-Sagana katika Kaunti ya Murang'a, iliyopelekea kifo cha Gavana wa Nyeri Wahome...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Mwendesha baiskeli anae share barabara na msafara wa Rais Donald Trump huko Sterling, Virginia, Jumamosi October 28, akimuingiza Rais "dole." Wanasema Rais wa USA ndio mtu mwenye nguvu kupita...
21 Reactions
179 Replies
16K Views
Wanafunzi wawili wa kike kutoka nchini Uholanzi Lola, (18) na Monica, 23 wametangaza kuuza bikira zao mtandaoni ili kuweza kulipia ada ya chuo.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Uvamizi wa Marekani chini Korea Kaskazini waamriwa Rasmi. Kabla ya kuingiza aina zingine za Majeshi ambayo yako tayari kwa vita, Pentagon yaamrisha Big 4 Aircraft Carries zilizobeba makomandoo...
13 Reactions
266 Replies
37K Views
Wapendwa katika Bwana Serikali ya Botswana imemzuia nabii kutoka Africa kusini kuingia na kufanya huduma Botswana, Wapendwa Mimi nimeokoka lakini kwa taarifa hii naunga mkono serikali ya Botswana...
19 Reactions
35 Replies
5K Views
Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Majaji Chang-ho Chung, Antoine Kesia-Mbe Mindua na Raul C. Pangalangan wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kivita ICC wamemruhusu Mwendesha Mashtaka aanze kuchunguza makosa ya jinai yaliyofanywa...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
The Rwigaras, one of Rwanda’s richest families, could soon find themselves without shelter if authorities go ahead to auction their properties to settle an outstanding tax bill of about Rwf5...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Wachimba migodi nchini Sierra Leone wamepata almasi ya karati 476 ambayo inatajwa kuwa ya 29 kuwai kupatikana duniani. Wataalamu bado hawana uhakika inaweza kuwa ya thamani ya kiasi gani. Hii ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamke raia wa Marekani aliyekuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kumkashifu rais Robert Mugabe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter ameachiwa kwa dhamana. Mwanamke huyo Martha O'Donovan, mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Burundi , MTUKUFU Piere Nkurunzinza amewataka wapenzi ambao hawajafunga ndoa nchini humo wafanye hivyo haraka sana kabla ya mwisho wa mwaka , vinginevyo WATAFUNGWA JELA . Source - EA TV .
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Raia mmoja wa Korea Kaskazini amemuomba rais wa China Xi Jinping kutomrudisha nyumbani mkewe na mwanawe wa kiume akisema kuwa watakabiliwa na kifungo jela au kifo iwapo watarudishwa Korea...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchunguzi maalum wa Nyaraka za siri maarufu kama 'Paradise Papers' unaofanywa na Gazeti la The Gurdian la Uingereza na vyombo vingine vya habari washirika zaidi ya 95 duniani umegundua kuwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Somaliland ni nchi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia mwaka 1991. Nchi hii ndogo toka ipate uhuru marais wanne wameshatawala kwa njia ya kidemokrasia. Kwa mara ya kwanza Duniani wapiga kura...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita. Gazeti linalomilikiwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom