USA may be behind removal of MUGABE

USA may be behind removal of MUGABE

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Wiki mbili baada ya mmarekani Martha o, Dovan alikamatwa kwa kumtukana MUGABE. NA daily express in a report Mugabe alikuwa na urafiki wa ajabu na Kim as north Korea . Mugabe alipeleka wanyama na Moan ark . TRUMP ALIKUWA CHINA I THINK SIKU ZA NORTH KOREA DICTATORSHIP ZINAKARIBIA MWISHO . Fox news is reporting China at this moment is sending high level troops and diplomats to North Korea
 
Andika kama mtu mzima, unawahi wapi??
 
Marekani Yuko nyuma ya hi kitu
Mkuu wa majeshi wa Zim alikua China akakutana na Waziri wa Ulinzi wa China
Hiyo ni wiki iliyopita
Kuna uwezekano alitumwa afanye hivyo ili ionekane ni China wamehuska
 
Unawajuq North Korea au unawasikia!? Trump ajaribu kuwashambulia aine kama hajapasuka nakende
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Stop speculating, our brothers and sisters in Zimbabwe could not take it anymore. Kila dikteta ana mwisho wake tena mwisho mbaya. Mugabe has fallen, his fall is sweet music to all Africans who are being oppressed by dictators.... he has gotten away with it for so long...

Mugabe alikuwa dikteta uchwara kama dikteta uchwara yeyote yule. Sasa mwisho wake umefika
 
I don't think so cz si mara ya kwanza wazungu kubambikiwa kesi na Mugabe...ukweli ni Kua Jeshi liliona Kua Mugabe amezidiwa akili na mke wake wa pili Grace ambae alkua typst wa Mugabe na Grace asiye na historia au uchungu na Zimbabwe anataka kupewa Urais kijnga...tusmtafte mchawi Mugabe alishndwa kusoma alama za nyakati una miaka 93 hiyo akili ya kufanya decision nzuri anaitoa wapi zaidi ya mke kuongoza nchi na wajanja wachache waliomzunguka
 
Marekani Yuko nyuma ya hi kitu
Mkuu wa majeshi wa Zim alikua China akakutana na Waziri wa Ulinzi wa China
Hiyo ni wiki iliyopita
Kuna uwezekano alitumwa afanye hivyo ili ionekane ni China wamehuska
Conspiracy theories katika ubora wake
 
This is purely internal issue,hakuna foreign influence hapa.Yaani kila kitu ni Marekani?,Kama ni kumwondoa wangeshamwondoa siku nyingi sana.Mugabe mwenyewe kacheza mchezo vibaya,jumba likamwangukia.
 
Hata mimi siamini kama US imehusika nadhani mazingira yalipelekea kutokea kwa hii overthrow
 
Mugabe anajitoa mwenyewe bro, maana hajatumia busara katika delegetion of authority
 
kama marekani ndio waliomfukuza makamu wa rais sawa.
 
Back
Top Bottom