Wajuvi wa mambo wanasema kuwa Kim haweziachana na silaha zake za nyuklia, ambazo ndio zinamfanya awe na turufu ktk kubageini na US kwenye meza ya mazungumzo.
Inadaiwa anachokifanya ni kuharibu...
Mwendo huu wa vyama vinavyochangia madaraka kwenye EU members utapata uungwaji mkono huko Ulaya EU na US wataumbuka mbaya. Kitendo cha chama cha siasa kinachochangia madaraka, huko Italy, kudai...
Kwa ambao hawana ufahamu mwanzilishi wa Taifa la Israel ni Lord Jacob Rothschild na familia yake ambao walikuwa in wealth family ujerumani na ulaya kwa karne yote ya 19. Yeye ndio alianzisha na...
Mkuu Consigliere unakumbuka ule uzi wako kuhusu Korea Kaskazini ?
Uchina , Korea Kaskazini na Urusi wanataka wawaweke Korea Kusini na Marekani kwenye kikaango,
Huku akijua kabisa Marekani atafanya...
Trump amteua Bolton kuwa mshauri wake mpya wa usalama
> Rais wa Marekani Donald Trump amemuondoa mshauri wake wa usalama wa taifa H.R McMaster na kumteua katika nafasi hiyo John Bolton, mtu...
SAA reports almost R2bn in losses
JOHANNESBURG – South African Airways (SAA) is in a dire financial state.
Treasury has released SAA’s fourth-quarter financial results.
It shows the company...
Leather-clad bikers with Russian national flags joined motorists driving for the first time across a newly-opened bridge linking Crimea with Russia on Wednesday.
President Vladimir Putin on...
Tapang Ivo Tanku @Tapang_Ivo 10h10 hours ago
Cameroun terrorists — so-called soldiers — roast a mother & her baby to ashes in Anglophone Cameroon, a restive nation that wants an independent...
Jamani, huwa sielewi kabisa waafrika tuna shida gani.
Leo Burundi wanapiga kura kupitisha mabadiliko ya katiba.
Hivi nani ana amini kabisa kuwa watapiga kura ya Hapana?
Tanzania tujiandae...
Naibu Waziri wa Bolivia kapigwa hadi kufa na wafanyakazi wa mgodini waliogoma. Ikumbukwe Tundu Lissu alishawahi kutushauri tuige sera za Bolivia kuhusu uwekezaji wa madini binafsi nilimshaangaa sana.
We have finally moved to Jerusalem from Tel Aviv wherein the Israel government has headquartered, our main goal to move to Jerusalem is to write off Palestinian dreams that part of Jerusalem or...
RWANDA: Serikali imesaini makubaliano na kampuni ya magari Volkswagen ili kujenga kiwanda cha kuunganisha magari hayo nchini humo.
Magari hayo ya Volswagen yanategemewa kuwa magari...
Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba.
Marekebisho hayo ya katiba yakiidhinishwa na wananchi huenda rais Pierre Nkurunziza akaongoza...
Leo nilikuwa napata kahawa sehemu maana kila siku jioni huwa napenda kunywa na kuondoka.
Sasa wakati nimekaa kwa nyuma yangu ilikuwa kuna watu wanapiga stori kuhusu kinachoendelea huko Israel...
source ALJAZEERA US opens embassy in Jerusalem: Which countries attended?
Nmeshangaa baadhi ya nchi zilipiga kura ya NO kwe UN general assembly lkn leo hii zmewakilishwa huko
Here is a breakdown...
Habari!
Rwanda iko mbele sana kiintelejensia. Wameweza kutoa masomo ya kiintelejensia kwa karibia vijana wao wote.
Simaanishi wote ni watumishi wa Chombo cha usalama wa Taifa la Rwanda ila wengi...
Bolton kasema kuwa NK inapaswa iachane na silaha za nyuklia ktk utaratibu kama ilivyokuwa kwa Libya. Pia iachane na silaha za kibiologia na kemikali na hivyo kupatiwa uhakika wa usalama wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.