Mauaji yao yatakoma lini huko Kusini mwa Camerron?

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Tapang Ivo Tanku‏ @Tapang_Ivo 10h10 hours ago
Cameroun terrorists — so-called soldiers — roast a mother & her baby to ashes in Anglophone Cameroon, a restive nation that wants an independent country called Ambazonia. Soldiers burn entire villages & select only English-speaking citizens to kill & burn. What should we do?
DdT3DTqUwAEqFNu.jpg
 
Hakika inasikitisha sana, lakini kabla ya kuangazia yanayotokea Cameroon hebu kwanza tumalizane na ya hapa nyumbani ni lini watu wasiojulikana watajulikana na kufikishwa mbele ya sheria kujibu mashitaka ya mauaji na utekaji yanayowakabili?
 
Waafrica sisi watu wa hovyo sana. Yani unawaua wenzio unaoishi nao ndio mama, dada, kaka na wadogo zako.

Alafu unyama hadi kwa watoto wadogo ambao hawajui lolote? SMH
 
Back
Top Bottom