Jamani, huwa sielewi kabisa waafrika tuna shida gani.
Leo Burundi wanapiga kura kupitisha mabadiliko ya katiba.
Hivi nani ana amini kabisa kuwa watapiga kura ya Hapana?
Tanzania tujiandae kisaikolijia.
Kweli MiaAfrika ndivyo tulivyo.
Afrika ni Afrika na itasalia hivyo, tatizo lenu mnaiangalia Afrika kwa kutumia Ulaya. Iangalie Afrika kama Afrika utaiona tu, ndo ile ile na iko vile vile.
Tatizo linaanzia kwenye historia inayotujenga kuchukia wenye nacho,
Historia inayodumaza uwezo wetu wa kufikiri.
historia inayoondoa uwezo wa kukosoa na kuhoji kwa kina
Nina mengi ya kuweka ila muda sina nikitulia nitaanzisha thread