Russian Bikers Cross 'Putin's Bridge' in Inaugural Drive

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,286
Reaction score
49,229
Leather-clad bikers with Russian national flags joined motorists driving for the first time across a newly-opened bridge linking Crimea with Russia on Wednesday.

President Vladimir Putin on Tuesday unveiled the new bridge to the Crimean peninsula, which Russia annexed from Ukraine in 2014. He chatted to workmen in overalls and drove a heavy, orange truck across the bridge's 19 kilometers length.

On Wednesday, the road was open to the public. Some local residents on the Crimean side of the bridge waved from the roadside as a convoy of bikers, among them the leader of a pro-Kremlin biker group, tooted their horns on their way onto the peninsula.

Some Russians have dubbed the road-and-rail bridge designed to link Crimea into Russia's transport network "Putin's bridge

Source :The Moscow times

7ff71e9113af474381584fc95dcbda2e.jpg

images (29).jpeg
 
View attachment 779498

View attachment 779505
Mzee wa kugoogle magoogle map na address ukiwa kwenye chumba chako cha kupanga Tandale. Halafu unakuja humu na saundi na fiksi mbofu mbofu na za ajabu ajab
 
Huyu hata akiwa georgia kwa saakashvili myukraini au akiwa hapo crimea au moscow.
Kote huko ni sehem za ajabu sana
Ila Georgia Tbilisi kuna watoto wakaree maamae. Kuna mmoja nilifahamiana naye kasheheni kinyesi. Toto zuri nywele ndefu nyeeusii

Dah Allah tufanyie wepes mwezi huu
 
Ila Georgia Tbilisi kuna watoto wakaree maamae. Kuna mmoja nilifahamiana naye kasheheni kinyesi. Toto zuri nywele ndefu nyeeesii

Dah Allah tufanyie wepes mwezi huu
Kabisa.
Wana shepu balaa. Unaweza ukasema hawa watoto ni waafrika nini wamevaa ngozi nyeupe
 
Mzee wa kugoogle magoogle map na address ukiwa kwenye chumba chako cha kupanga Tandale. Halafu unakuja humu na saundi na fiksi mbofu mbofu na za ajabu ajab
Mdogo wangu hata hapo Denmark nimewahi pita

Masafa haya sijayaanza leo na ni kutokana na nature ya shughuli zangu za kimataifa

Mwaka 1996 nimeshaanza masafa ,nikiwa na shirika moja maarufu la HESAWA, nimekaa Peru miaka 2,

Mwaka 1997 nilipojoin shirika la Peru helpage ndani ya peru ,nilipata masafa sana kwenda Haiti, Guatemala, Palau, Na bolivia,

Nimeenda University of Houston , kusoma masuala ya usimamizi wa miradi kwa shahada ya uzamili, kama elija mwamunyange uko hapa nadhani umekumbuka tulikuwa watanzania 5 , tunasoma course tofauti, ila msabahi prof lersber ukipita maeneo hayo

Nimeenda kupata training Sweden Uppsala university(Upland) nimewaacha washkaji zangu kina Edwin Edward nadhani Muda huu, yuko Australia,

Mdogo wangu nimekaa Sweden miaka 4 Ndo kama nyumbani, skovide, halsberg, Stockholm, hedemora hapa nilikutana na wahaya wamejenga kambi mitaa hii,.Kuna jamaa anaitwa Martin ni wa kiziba, ana kama kijiji cha wahaya pale, pia hapa nimekaa na dogo dogo wa Tibaijuka anna, anaitwa kemi maana alikuwa anatoka uingereza tunakaa naye miezi kadhaa

Nimekaa Singapore nimekaa Malaysia,

Niko Urussi ,hapa nimeshakaa saratov, rostov on don,

Nimetembelea malta, Georgia Tibilisi, nimetembelea Abu Dhabi, Dubai na sharja,

Ila mwakani nadhani Finland,

Nimeamua nikueleze machache tu,
Hapo sijataja safari ya Belarus, Portugal, Canada, Transnitria, na MACAU, China

Ukinitaka zaid nikuwekee vielelezo
 
Mdogo wangu hata hapo Denmark nimewahi pita

Masafa haya sijayaanza leo na ni kutokana na nature ya shughuli zangu za kimataifa

Mwaka 1996 nimeshaanza masafa ,nikiwa na shirika moja maarufu la HESAWA, nimekaa Peru miaka 2,

Mwaka 1997 nilipojoin shirika la Peru helpage ndani ya peru ,nilipata masafa sana kwenda Haiti, Guatemala, Palau, Na bolivia,

Nimeenda University of Houston England kusoma masuala ya usimamizi wa miradi kwa shahada ya uzamili, kama elija mwamunyange uko hapa nadhani umekumbuka tulikuwa watanzania 5 , tunasoma course tofauti, ila msabahi prof lersber ukipita maeneo hayo

Nimecheka balaaa
 
Passport yako ya TZ haina kazi tena.
 
Nimeenda University of Houston England kusoma masuala ya usimamizi wa miradi kwa shahada ya uzamili, kama elija mwamunyange uko hapa nadhani umekumbuka tulikuwa watanzania 5 , tunasoma course tofauti, ila msabahi prof lersber ukipita maeneo hayo

Mkuu, University of Houston in England?
 
Back
Top Bottom