Hivi kumbe kwny official statement na jina la mke hua linaandikwa nilikua sijui aisee.
Labda mkuu kama hii kadi haijawa designed pale Manzese Stationary sijui.Labda ni mwaliko wa after party.
"Jerusalem, the Capital of Israel"; kwa maneno hayo, hapajawahi kuwa na kadi bora ya mwaliko kuzidi hii tangu dunia ianze kuwepo.
Mkuu, PM Netanyahu anakukaribisha ukashuhudie tukio la kihistoria la kuurudishia tena Mji Mtakatifu wa Jerusalem hadhi unayostahili......duuuh [emoji19] !....hamna namna yakusaidiwa wewe !
Ahahhahahahahah waarabu ni watu wa ajabu awa walikuwa tayar kuungana na muingereza kumdhoofisha othmanThis time waarabu hawataipinga Israel maana wanamtegemea Israel kule Syria na Iran
Hawajawahi kuwa na umoja dhahiri,acha wasambaratishweAhahhahahahahah waarabu ni watu wa ajabu awa walikuwa tayar kuungana na muingereza kumdhoofisha othman
Kweli kabisa ukhalifa(caliph) ulikuwa na changamoto nyingi na watu wa mwisho kuufuta ni kali othman baada ya figisu za awa awa waarabu waHawajawahi kuwa na umoja dhahiri,acha wasambaratishwe
Kweli kabisaa ukhalifa ulikuwa na changamoto nyingi na othman waliufuta baada ya kuona waarabu wamekuwa wanafikiKweli kabisa ukhalifa(caliph) ulikuwa na changamoto nyingi na watu wa mwisho kuufuta ni kali othman baada ya figisu za awa awa waarabu wa
....hmna mji mtakatifu duniani wewe bwege ! Hao jamaa si ndo walimuua mungu wenu.Mkuu, PM Netanyahu anakukaribisha ukashuhudie tukio la kihistoria la kuurudishia tena Mji Mtakatifu wa Jerusalem hadhi unayostahili.
Suala la ugomvi wa mashariki ya kati ni zaidi ya vita vya kidini,na utaifa.Sasa hivi Saud Arabia na nchi zingine za kiarabu kama Bahrain,UAE .Zinaona Israel ni rafiki zaidi kuliko Iran.Ndio maana kwenye mashambulizi ya Juzi ya Iran ,Israel,kutokea Syria,Saud Arabia ,Bahrain,UAE zilikuwa upande wa Israel!Laiti waarabu nchi zao zingekuwa na umoja wa kweli kwa nguvu ya rasilimali walizonazo wangekuwa tishio sana kwa nchi za magharibi,, upumbavu wa kusalitiana wao kwa wao matokeo yake miaka yote wanapelekeshwa na Nchi moja tu wote wanaufyata..
Waarabu sio makondoo na hawapelekeshi.Kila mtu ana Uhuru wa kuchagua rafiki anayemfaa.Kama wafalme wa Said Arabia wanaona Iran analengo la kuipindua serikali.Israel na US wanaonekana ni marafiki zao pia ni maadui wa Iran,kwanini Saud Arabia isishirikiane na Israel na US?Hakuma mijitu mijinga na mipumbavu katika dunia hii kama arabs! Huwa hayajielewi ni nini yanataka yanapelekeshwa kama makondoo tuu, pumbavu sana.