South Africa Airline yapata hasara ya Rand 2 billion

watu mnachekesha sana,kila mkisikia shirika limeyumba mnaomba dua la kuku na la kwetu life
mbona hamfungui thread kutujuza faida wanazopata emirates,ettihad na qatari airways ambao wameikamata dunia
 
Mambo si mambo tena kuna kila sababu ya kujitayarisha na majanga yatakayoikumba ATC yetu!!
Siku zote bihashara ya Usafiri wa binadamu ni ngumu sana.
Kuanzia mabasi, treni, ndege na meli ni changamoto sana. Maana watu kuna kipindi hawasafiri na kuna kipindi wanasafiri sana. Sasa bihashara kuweza kuitembeza kipindi chote ni changamoto
 
watu mnachekesha sana,kila mkisikia shirika limeyumba mnaomba dua la kuku na la kwetu life
mbona hamfungui thread kutujuza faida wanazopata emirates,ettihad na qatari airways ambao wameikamata dunia
Tueleze faida au muelekeo kuwa ATCL itatengeneza faida.
 
Ndio tatizo la kusoma Tanzania Daima kila siku hili,hupati vitu tofauti na taaluma yako
kwenye business plan ya shirika au mradi mle ndani lazima utengeneze jedwali la cashflow
Hiyo cashflow inasaidia kuona mapato na matumizi yatakuaje kila mwezi,inaweza kuonesha utaingia hasara miezi sita hata mwaka,lakini utaanza kupata +ve mwaka unaofuata
 
Mradi umejibu tu!!!
 
Hi
SAA reports almost R2bn in losses

JOHANNESBURG – South African Airways (SAA) is in a dire financial state.

Treasury has released SAA’s fourth-quarter financial results.

It shows the company has lost R1,84-billion, with international sales declining by 11 percent and domestic revenue by 21 percent.

Hili shirika tatizo bei ziko juu sana! Wangeweza kupambana na mashirika kama KQ au ET kusafirisha abiria wengi waafrika wanaoenda Ulaya, US na ASIA! ila wao naona wanalenga mapedejee tu ndo maana sales zinapungua
 
Africa nishirika moja tu ndilo linajoendesha kwa faida.
 
Ndio tatizo la kusoma Tanzania Daima kila siku hili,hupati vitu tofauti na taaluma yako
kwenye business plan ya shirika au mradi mle ndani lazima utengeneze jedwali la cashflow
Hiyo cashflow inasaidia kuona mapato na matumizi yatakuaje kila mwezi,inaweza kuonesha utaingia hasara miezi sita hata mwaka,lakini utaanza kupata +ve mwaka unaofuata
Mkuu imekuwa kitu cha ajabu kwa Tanzania kuona baadhi ya watu wake wakiisubiria serikali kushindwa kwenye jambo lolote.
Ni kitu cha ajabu sana kutumia reference ya mtu aliyeshindwa katika kutafuta mafanikio.
Ni rahisi mno kwa mtu asiyewahi kutumia usafiri wa anga kuombea kushindwa kwa kampuni ya ATCL kuliko mtumiaji wa huu usafiri katika shughuli zake zinazohitaji movements.
 
And yet South Africa receives 3 times number of tourists than us.. And it has been middle income country for so long, means it's citizen can easily afford travelling by planes

Yetu macho..
 
Mitikisiko kwenye biashara yoyote ni hali ya kawaida ,watastabilize with time..
 
Back
Top Bottom