Italy wachoka vikwazo dhidi ya Russia ?

Italy wachoka vikwazo dhidi ya Russia ?

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,674
Reaction score
28,788
5afd6a35dda4c86f708b45e6.jpg


Mwendo huu wa vyama vinavyochangia madaraka kwenye EU members utapata uungwaji mkono huko Ulaya EU na US wataumbuka mbaya. Kitendo cha chama cha siasa kinachochangia madaraka, huko Italy, kudai kuwa ili kishiriki madara hayo lazima Vikwazo dhidi ya Russia viondolewe siyo cha kubeza. Nisikuchoshe...jisomee mwenyewe.
----
Italy's anti-establishment Five Star Movement (M5S) and Euroskeptic party Lega Nord reportedly want to get rid of anti-Russian sanctions in their coalition deal. A source confirmed to RT that Russia is part of the agreement.
A draft of a joint program of the two parties was leaked and published by Italian media on Thursday. The 40-page document reportedly calls for end to treating Russia as a threat and refers to it as a partner, calling for more openness towards it.

RT has received confirmation from M5S that Russia is indeed mentioned in the program. “We can confirm that in the draft of the agreement there is [a part about] the Russians, but it’s not official,” an M5S source told RT.
Source: RT.com
 
shida vikwazo vimewekwa under EU umbrella hata kuviondoa itahtaji EU wakubaliane kuviondoa, hawa 5 star wanachosema sasa hvi ni kama alichokuwa anasema trump enzi zile kabla hajaapishwa ila alipoingia madarakani mambo yakawa tofauti, sawa na wale far right wa AUSTRIA na wao walikua wakisema hvyo kuhusu russia hata kuongelea kujitoa EU kabisa wakishinda uchaguzi lakin waliposhinda uchaguzi wakaingia madarakani hawakuogelea tena hizo habari
 
Hili jukwaa linapoteza hadhi kama habari zenyewe ndio hizi.
Hakuna takayekupa ushauri ni uzi gani ufungue ujue kilichomo.
===
Huu ndiyo uzuri wa kukubali masharti ya kuendelea kutumia mtandao wa JF uliyosaini kati ya jana na leo. Vinginevyo ungewaomba moderators wachomoe JF Account yako.
 
Hizo ni kelele tu za Chama hicho lakin Umoja wa ulaya wote uko mfukoni mwa USA

You might say an wrong, but ask yourself, how EU benefit through different projects financed by USA,
 
Hizo ni kelele tu za Chama hicho lakin Umoja wa ulaya wote uko mfukoni mwa USA

You might say an wrong, but ask yourself, how EU benefit through different projects financed by USA,

Mkuu, EU imekwisha shitukia US - msumari wa mwisho kwenye jeneza la EU na US ulipigwa juzi juzi hapa wakati Trump alipo puuzia ushauri wa baadhi ya Viongozi wa Continental Europe kuhusu makubaliano ya P5+1 na IRAN.

Si hilo tu hata ongezeko la tarrif kwenye Bidhaa za chuma zinazo zalishwa Ulaya na kwenda kuuzwa USA nalo litachangai Mataifa ya Ulaya KUJIONA US haiwathamini, badala yake USA aniwashinikiza waiwekee vikwazo vya kiuchumi Urusi - Ulaya inajikuta wakulima wao wanakosa soko la bidhaa/mazao yao huko Urusi pamoja na soko la mashine na mitambo - cha ajabu US haitoi fidia kwa hasara zinazo zikumba nchi za Ulaya.
 
Habari zenyewe zinatoka vyombo ambavyo sio rasimi kama RT News na Radio Teheran

Ni kweli hata Umoja wa Mataifa imekwisha toa tamko kwamba Dunia inapashwa kuamini taarifa za habari zinazo tolewa na MSM namely CNN,FOX NEWS, MSNBC,BBC,RFI,DW nk - kuanzia sasa hakuna kusikiliza vyombo vya habari vya wa Communist i.e RT, CCTV, RADIO BEKING, SPUTNIK,PRAVDA,TASS nk - yaani mtu ukipitia hoja za ajabu kama hizo ndio utagunduwa kwamba colonial hangover bado inatawala fikira za Waswahili/Africa tulio wengi - na ajabu na kweli!!
 
Hizi sanction zinaumiza sana, kama una affiliation na Russia kwa sasa ni mwendo wa maumivu tu.
 
Back
Top Bottom