Nchini Bolivia Naibu Waziri atembezewa kichapo na wachimbaji wenye hasira.

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Naibu Waziri wa Bolivia kapigwa hadi kufa na wafanyakazi wa mgodini waliogoma. Ikumbukwe Tundu Lissu alishawahi kutushauri tuige sera za Bolivia kuhusu uwekezaji wa madini binafsi nilimshaangaa sana.
 
1472394679161.jpg
1472394682139.jpg
1472394684841.jpg
left in terrible end
 
..hapa Tz hujasikia wananchi wanauawa kutokana na migogoro kati yao na wawekezaji wakubwa?

..au hujasikia machafuko ya Nigeria chanzo chake ni mikataba mibovu isiyonufaisha wananchi?

..inawezekana kabisa Bolivia ingekumbwa na matatizo makubwa zaidi ya hicho ulichokiona kama wangeendelea kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyokuwepo hapo awali.
 
Naibu Waziri wa Bolivia kapigwa hadi kufa na wafanyakazi wa mgodini waliogoma. Ikumbukwe Tundu Lissu alishawahi kutushauri tuige sera za Bolivia kuhusu uwekezaji wa madini binafsi nilimshaangaa sana.
Tundu Lissu hajawahi kuyasema hayo, thibitisha.
 
Naibu Waziri wa Bolivia kapigwa hadi kufa na wafanyakazi wa mgodini waliogoma. Ikumbukwe Tundu Lissu alishawahi kutushauri tuige sera za Bolivia kuhusu uwekezaji wa madini binafsi nilimshaangaa sana.
Watu Kama nyie ndiyo mnatakiwa kupata dozi Kama hii ili heshimaa iwepo

Ova
 
Kawaida ya upinzani wa Tanzania hupendekeza sera zilizoshindwa ilimradi wapinge...nikiwaambia watu kuwa Lissu ni mbishi na mbumbumbu...wananuna!
Sera zipi zilizoshindwa ?tupe Maelezo kidogo ya hizo Sera vinginevyo uliyoandika ni upunguani tuu !
 
..hapa Tz hujasikia wananchi wanauawa kutokana na migogoro kati yao na wawekezaji wakubwa?

..au hujasikia machafuko ya Nigeria chanzo chake ni mikataba mibovu isiyonufaisha wananchi?

..inawezekana kabisa Bolivia ingekumbwa na matatizo makubwa zaidi ya hicho ulichokiona kama wangeendelea kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyokuwepo hapo awali.
Tatizo mleta uzi hakusoma vizuri alichosema Lisu, au anataka tu kupotosha kwa sababu zake anazozijua mwenyewe
 
Sera zipi zilizoshindwa ?tupe Maelezo kidogo ya hizo Sera vinginevyo uliyoandika ni upunguani tuu !
Tundu alikuja na waraka mrefu uliojaa prpaganda kuwa tuwaige Bolivia...sasa kama sera za Bolivia zinagombanisha raia na serikali dhahiri ni,Tundu ni kibaraka wa mabwanyeye
 
bainisha hizo Sera/propaganda vinginevyo sioni neno jingine zuri kwa Maelezo yako zaidi ya uzezeta !
 
Back
Top Bottom