International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

1:Iraq ilivamiwa wakati UN haijakamilisha uchunguzi wa silaha nyuklia na kemikali. 2:Syria Inashambuliwa wakati ripoti ya uchunguzi wa silaha za kemikali haijatoka. Katikati ya udhaifu huu...
8 Reactions
151 Replies
11K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria ambalo linafanya hija ya kitume mjini Vatican kwa kukutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko pamoja na waandamizi wake, limesikitishwa na kuhuzunishwa...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Serikali ya Gambia inapiga mnada mali za aliyekuwa rais wa taifa hilo (1994 - 2017) aliyepinduliwa, Yahya Jammeh yakiwemo magari ya kifahari (Rolls Royce), ndege tatu binafsi na jumba la kifahari...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Xi aisifu falsafa ya Karl Marx kama chimbuko la mustakbali wa China Rais na mwenyekiti wa chama cha kikomunisti nchini China, Xi Jinping, amemsifu Karl Marx kuwa "mwanafalsafa muhimu kabisa wa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nilitumiwa hii na comrade fulani, nadhani itawafaa kujifunza kitu walengwa wake!. Cc: Malcom Lumumba, chige, Prof, Bavaria, zitto junior
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa "mjinga" na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baghdad, Iraq. Serikali inatarajia kuwanyonga wachumba 40 wa wanamgambo wa Dola ya Kiislamu (IS) kulipiza kisasi kwa wapiganaji hao wa jihadi kuikalia kwa miaka mitatu ardhi ya Iraq wakati wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema wagonjwa watatu wa Ebola wametoroka katika kituo cha matibabu nchini Demokrasia ya Congo na kisha kupelekwa kanisani na ndugu zao kwa lengo la kuombewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
North korea imesema kuwa kila mwandishi aliealikwa kuhudhuria ubomoaji wa nuclear site test huko Punggye-ri kulipia dola 10,000 ili kupata kibali cha kuingia nchini humo, taarifa ya serikali ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
23 Mei 2018 Watu wote waliokuwemo walisurika wakati ndege hiyo iliyokuwa safarini kutoka Texas ilianguka Honduras. REUTERS Takriban watu sita raia wa Marekani walijeruhiwa wakati ndege...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mapema mwaka huu Raisi Putin wa Russia alitamba kwamba sasa Urusi ina silaha (missile) ambayo inaweza kupiga sehemu yeyote duniani. Ukweli ni kwamba wakati Putin akifanya majigambo haya, silaha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Korea Kaskazini yamuita Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence 'mjinga' Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa "mjinga" na kuonya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo jana ali weka wazi masharti “magumu” 12 kwa ajili ya makubaliano mapya ya Mpango wa Nuclear wa Iran. Aliweka masharti hayo wakati wa Mkutano wa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa BBC asubuhi hii, rais Trump hatablock au kuzuia tena watu kuview Profile yake hata kama wana mlengwa tofauti wa kisiasa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Picha: Sarafu yenye picha za wababe wawili; Trump & Kim Wakuu, Kim alimpa matumaini makubwa sana Trump kuwa watakutana na kuongea lugha moja. Matumaini hayo yalifikia kiwango cha US kutengeneza...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu Kuna Jamaa Yangu Anataka Kujua Nauli Za Kwenda Brazil, Na Gharama Za Vyumba Zipoje, gharama Za Visa Inakuwaje, Nadhani Humu Kuna Watu Wameshaga Wahi Kufika Huko.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hotter than average temperatures have killed at least 65 people in just three days in Karachi, Pakistan. Temperatures reached a high of 44 degrees Celsius (111 Fahrenheit) on Monday, according to...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapiga kura nchini Burundi wamepitisha mabadiliko ya Katiba katika kura ya maoni ambapo sasa Rais Nkurunziza(54) anayemaliza muda wake 2020 anaweza kugombea tena kwa vipindi viwili vya miaka 7...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Fresh off his re-election in what critics called a rigged vote, President Nicolás Maduro of Venezuela on Tuesday ordered the top American diplomat and his deputy expelled, describing them as...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Back
Top Bottom