Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi...
https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg
Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa.
Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae...
Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option...
Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na...
Kwa Wapenda Amani Duniani wakiwemo Vioongozi wa Nchi za Kiislam au zenye waislam wengi na wacheche waache uongo mara moja Dunia imechoka na uongo ambao unasababisha kutokuwepo na Amani... news za...
Waziri wa Ulinzi Israel Katz:
"Gaza inaungua. IDF inapiga kwa mkono wa chuma kwenye miundombinu ya ugaidi, na askari wetu wanapigana kwa ujasiri ili kuweka mazingira ya kuachiliwa kwa mateka na...
IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita.
Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita...
Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi...
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah...
Wanaukumbi.
Israel na Pakistan 🇵🇰 zilichuana vikali katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Israel kuitaja Pakistan mara kwa mara kwa jina:
Pakistan inaishutumu Israel, inasema ni...
ATHARI ZA ANTIFA, INTIFADA, UTETEZI WA MASHOGA
Wachunguzi na taarifa za familia zinaonyesha kuwa Tyler Robinson aligeukia maswala ya siasa miaka ya hivi karibuni, haswa baada ya shule ya...
Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu...
Tukiwaambiaga Wairan sio waarabu muwe mnaelewa!!
Iran walimjibu Israel wenyewe bila back up yoyote Even Russia hakumsapoti Iran!! Iran walijibu vilivyo
Eti waarab eti mpaka waungane ndo wamjibu...
Kuna kila dalili kuwa migawanyiko, undumila kiwili, unafiki, na woga wa waarabu utawatokea puani. Yenyewe yamekaa na kuangalia kana kwamba hayawahusu.
Na waafrika tujuandae. Huu waweza kuwa...
Sababu za Maandamano
Marufuku ya mitandao ya kijamii – Serikali ilizuia matumizi ya Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube n.k. kwa madai ya kiusalama. Vijana waliona hatua hiyo kama kukandamiza...
Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana...
Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.