Video: Jeshi la Israel ikishusha Makombora Gaza

Video: Jeshi la Israel ikishusha Makombora Gaza

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,221
Reaction score
3,803
Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kudai ndo mwanzo wa vita


​
Source: AP NEWS
 
Gaza ina maghorofa mengi kuzidi Dodoma
 
kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kudai ndo mwanzo wa vita
Dah,
Mwanzo wa vita!
 
Back
Top Bottom