International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Yaani hata huko Marekani napo hakuna uhuru kama tunaoufikiria. Hili tukio halina tofauti sana na lile la Askari wa Tanzania kumvamia yule jamaa mbele ya mahakama na kuanza kumpiga...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon Paul Biya, amewaomba wananchi wa nchi hiyo kutompigia kura baba yake katika uchaguzi wa Oktoba 2025. Kupitia moja ya matangazo ya moja kwa moja kwenye...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Gaza bye bye Leo mapema. Israeli wameingiza jeshi moja kwa moja kutwaa kipande cha Gaza kilichobakia. Wametoa onyo kwa raia waondoke maeneo yote ya Gaza hadi eneo walilopangiwa lililo karibu na...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo...
4 Reactions
9 Replies
806 Views
Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa...
3 Reactions
15 Replies
862 Views
Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the...
2 Reactions
62 Replies
2K Views
  • Closed
Huwa najiulliza sana kwanini nchi nyingi sana ambazo zina idadi kubwa sana za wakristo kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe( civil war) kwa mfano Liberia, sierra leone, Guinea Bissau, Sudani kusini...
3 Reactions
8 Replies
625 Views
Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa watu 22 wameuawa kwa risasi na watu wasiojulikana katika mkoa wa Tillabéri, magharibi mwa Niger, wakati wa sherehe ya ubatizo. Mashuhuda wamesema...
1 Reactions
13 Replies
631 Views
Ukishangaa ya Waiba Kura yaani Upige, Usipige, itapigwa... Kuna nchi zinalazimisha ukapige! na Ajabu zaidi kuna zile zinaruhusu mtu kutuma mtu akampigie kwa kumpa Power of Attorney...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Chama Kikuu cha upinzani, Democratic Progress kimemudhinisha Rais wa zamani, Peter Mutharika kuwa Mgombea wake katika Uchaguzi wa Septemba 2025 ====== Malawi's main opposition party, the...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi wa Malawi wanatarajiwa kupiga kura Septemba 16, 2025 kuchagua rais mpya, wabunge na madiwani, ikiwa ni baada ya miaka mitano tangu uchaguzi uliopita ambapo vyama 17 vitashiriki huku...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa watu 31 wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Spetmeba 2025. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Wanakumbi. Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO. Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki...
9 Reactions
188 Replies
4K Views
Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
UNRWA ikusanya zaidi ya dollar bilioni moja kila mwaka za pesa za misaada na pesa hizi zilipotea katika mifuko ya maofisa waliokuwa wamewekwa na hamas katika nafasi za shule hizo. Pesa hizo...
1 Reactions
6 Replies
419 Views
ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Takribani miaka milioni sita iliyopita, Bahari ya Mediterania ilipitia mabadiliko makubwa yaliyotikisa historia ya kijiolojia ya dunia, kuanzia muonekano hadi ubora wake wa kuitwa bahari. Shughuli...
3 Reactions
1 Replies
403 Views
Chanzo . BBC Swahili. Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema. Mzambia Leonard Phiri na...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo: Hamas itaondolewa milele!!. Hali ya ugaidi haitakuwapo tena. Na kwa upande...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom