International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi...
2 Reactions
20 Replies
882 Views
Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia? Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa...
4 Reactions
2 Replies
803 Views
China na Urusi ni nchi zenye sheria kali za kudhibiti dini zote: 1. China Nchini China, kuna aina mbili za Makanisa ya Kikristo: (a)Makanisa yaliyosajiliwa rasmi na serikali: Haya yanasimamiwa na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa...
1 Reactions
15 Replies
985 Views
How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime In the era of remote work and global freelancing, a hidden cyber operation is quietly thriving — one in...
0 Reactions
4 Replies
917 Views
Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
1 August 2025 Goma, Nord Kivu DRC Mahojiano Exclusive BERTRAND BISIMWA Kiongozi wa M23 akizungumuza Kuhusu hali ya siasa na kile wanacho kitaka DR Congo . Uongozi bora wa kitaifa Hatutaki...
0 Reactions
3 Replies
299 Views
persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
1 Reactions
64 Replies
3K Views
Mara nyingi Tanzania na South Africa zikiwa pamoja na nyimbo za taifa kupigwa, mwanzoni kunakuwa na confusion kutambua kama ni wimbo wa Tanzania au South Africa unaopigwa. Sio hapo, ukiangalia...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area...
3 Reactions
1 Replies
333 Views
Hii ni baada ya kurushiana maneno na Medved, Trump anasema maneno ya kijinga ya vitisho vya nuclear yaliyotolewa na Medvedev sio ya kuchukuliwa kwa wepesi.
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege...
10 Reactions
179 Replies
7K Views
Huyu bwana ana mipasho sio kidogo😀
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Aliyekuwa bosi wa kampuni ya kutengeneza magari ya Nissan, Carlos Ghosn ametoweka kitatanishi nchini Japan, ambako ameshtakiwa kwa kukiuka kanuni za fedha na sasa yuko Lebanon huku polisi wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Wawakilishi kadhaa wa Marekani wamekuwa hawatoki Lebanon kushinikiza serikali ya Lebanon ipitishe azimio bungeni la kuwanyang'anya silaha Hizbullah. Kiongozi wa kundi hilo ndugu Naim Qassim...
3 Reactions
18 Replies
684 Views
--- 🖋️ Professional Article Writer for Websites & Blogs – Swahili & English Are you in need of high-quality, engaging, and well-researched articles for your website or blog? I’m here to help...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Back
Top Bottom