International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi Mtuhumiwa wa mauaji...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Tyler Robinson, muuaji wa Charlie Kirk, alikulia familia ya Republicans wakiwa wakristo kwa dini, Picha zake nyingi za zamani zilimuonesha katika misimamo hio Alipoenda chuoni alibadili mtazamo...
3 Reactions
10 Replies
680 Views
Hii ndio Gaza ilivyo sasa, matokeo ya kulazimisha vita ambayo hawawezi kushinda, hamas kuji-mwambafai huku wanaoteseka ni wananchi wa kawaida. Lakini kuna utindio wa ubongo mmoja atakuja kuilaumu...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Idadi ya wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Congo imeongezeka maradufu ndani ya wiki moja tangu mlipuko mpya kuthibitishwa, kwa mujibu wa Shirika la Afya la...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Habari za usiku huu Sote tulishuhudia vile Gen Z wa Kenya walivyotikisa uongozi wa Kenya. Maandamano yao yalichukua muda mrefu na yalitapakaa sehemu nyingi kwao. Pamoja na kwa namna tofauti...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
2 Reactions
12 Replies
639 Views
Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na...
8 Reactions
14 Replies
760 Views
Yule msafisha vyo kule Tela Aviv Echolima1 atabisha Mussad imesambaratishwa https://youtu.be/aQrxt3QGeYY?si=6nr9BUNGifEDsNgG
2 Reactions
12 Replies
761 Views
PM Sushila Karki reaches Civil Hospital to meet injured youths. Britanicca
4 Reactions
16 Replies
682 Views
Waarabu na Waisraeli ni watu wanaoamini katika ubaguzi uwe wa dini, jiografia, rangi, ukoo, hata mawazo. Kila hawa ndugu wawili wanapogombana au kupigana, hushutumiana ubaguzi na ugaidi wakati hii...
3 Reactions
12 Replies
517 Views
Nimeshangaa sana kumsiki Rais wa Marekani Donald Trump, akisema kwamba yupo tear kuiwekea Urusi vikwazo vya kiuchumi, endapo tu mataifa ya NATO yataacha kikamilifu kununua mafuta ya Urusi. Hii ni...
3 Reactions
4 Replies
337 Views
Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na...
2 Reactions
6 Replies
641 Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita...
3 Reactions
1 Replies
384 Views
Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Israel ni mtawala wa Marekani au ni mshirika wa Marekani ? Je, Waziri mkuu wa Israel ana nguvu kuliko Rais wa Marekani ?
0 Reactions
5 Replies
277 Views
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya...
2 Reactions
1 Replies
256 Views
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu. Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na...
23 Reactions
401 Replies
10K Views
Charlie Kirk, aliyejulikana kama mwanachama mkuu wa mrengo wa kulia na mwanzilishi mwenza wa Turning Point USA, aliuawa kwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, katika tukio linalochukuliwa kama moja...
11 Reactions
135 Replies
5K Views
Back
Top Bottom