International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndege hiyo ya Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu 5 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Almaty siku ya Ijumaa alfajiri saa za eneo hilo Watu 14 tayari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MANILA (Reuters) - At least 11 people have been killed and more than 300 treated in hospital after drinking coconut wine in the Philippines, including some who were celebrating at a Christmas...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama kuu jijini Abuja imetangaza kwamba ukahaba sio uhalifu nchini Nigeria. Uamuzi huo umejiri katika kesi iliyokuwa inashirikisha wanawake 16 waliokamatwa kwa kufanya ukahaba. Ni mara ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, Polisi nchini humo imefungua kesi 118,000 za uhalifu wa utapeli kwa kutumia simu za mkononi na kuwakamata watu elfu 99 wakati wa operesheni ya "Cloud...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
#HABARI Mamlaka ya Polisi nchini Scotland limeadhinisha vazi la hijab kuwa moja ya vazi rasmi kwa askari wake ili kuwavutia wanawake wengi wa Kiislam ambao hawaipi kipaumbele kikubwa kazi hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Iran amezilaumu nchi za Marekani, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kuifumbia macho Israel ambayo ina silaha pamoja na makombora ya nyuklia. Zariff ameeleza kwamba...
10 Reactions
63 Replies
8K Views
Bwana mmoja mwenye ndevu nyeupe alifanya uvamizi wa benki siku mbili kabla ya Krismasi na kuzirusha juu kwa furaha na kuwatakia kheri ya siku kuu wapita njia, mashuhuda wameeleza. Polisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kimbunga Phanfone kimeikumba nchi hiyo siku ya Siku Kuu ya Krisimas huku ikielezwa kuwa kimbunga hicho kiliambatana na mvua kubwa na upepo uliovuma kwa kazi ya Kilomita 120 kwa saa. Zaidi ya Watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona medie karibu zote duniani zipo live kwa watanzania wenzangu unaweza kujifunza kitu kwa local channel ITV wamejiunga na CNN wapo live. Mnyukano ni kati ya Democratic wanao pigakura kumwondoa...
10 Reactions
175 Replies
20K Views
Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mahakama imesema kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha uhusika wa viongozi wawili wa juu wa Serikali ya Saudi Arabia Hapo awali Mwana wa Mfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Woman Admits to Killing Deer When Cops Pull Her Over to Hand Out Holiday Gift Madera County Sheriff’s Office (MCSO) deputies gifted unsuspecting motorists in Madera, California, with cash donated...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Wapiganaji nchini Burkina Fasso wamewauawa raia 35, 31 wakiwa wanawake katika shambulio lililolenga kambi moja ya kijeshi na mji nchini Burikina Faso , maafisa wamesema. Wanasema kwamba wanajeshi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Picha ya Rais Donald Trump na wahasimu wake. Rais Donald Trump wa Marekani anakabiliwa na tishio la kuwa rais wa 3 wa Marekani kushitakiwa, pale ambapo baraza la wawakilishi la Marekani litapiga...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Kituo cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria Bw. Goodluck Jonathan katika jimbo la Bayelsa, nchini Nigeria kimeshambuliwa na watu wenye silaha wasiojulikana na askari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Daniel Foote alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Zambia Marekani imemuita balozi wake wa Zambia nyumbani huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kati ya nchi hizo mbili baada ya Balozi huyo...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna habari madaktar wawili wacuba wametekwa na wasomali wanaojiita alshabab jihadist. Wakuba wana takribani madaktar 100 nchini kenya. Watu hao inasaladikika wamehifadhiwa sehem salama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
China imesema leo kuwa itapunguza ushuru kuanzia Januari mosi kwenye zaidi ya bidhaa 850 za kigeni ikiwemo nyama ya kuhifadhiwa ya nguruwe, madawa ya maradhi ya pumu na baadhi ya vifaa vya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom