Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,831
- 38,720
UnaotaRussia ndo Baba wa Misaile Duniani na hata Ile Mkataba ya Kupunguza Silaha za Nuclear ilitokana na Russia kuizidi Marekani.
Russia linapo Kuja swala la Nuclear weapon nazani hana mpinzani na USA yuko vizuri kwenye Conventional weapon
Halafu hii missile iliyolipuka ndio ile kipindi kile cha karibia na uchaguzi Putin akaitolea video kuwa ipo tayari,kumbe zilikuwa hadaa za Uchaguzi tuu.Du, Russia walitaka isijulikane hii. No technology that is 100% foolproof.