Angola Freezes Assets of Ex-President’s Billionaire Daughter
Isabel dos Santos, called Africa’s richest woman, is one of three people accused of causing the state losses of more than $1 billion...
US attacks Iran-backed militia bases in Iraq and Syria
Iraqi paramilitary force said the US strikes targeted its bases near the town of al-Qaim
The US has conducted air strikes in Iraq and Syria...
Na sisi tuwe na tume huru.
=====
Umaro Cissoko Embalo ameshinda kiti cha urais nchini Guinea-Bissau kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo.
Ikitangaza leo matokeo...
Sudan yawahukumu kifo wanajeshi 27 kwa kumuua mwandamaji
Mahakama moja ya Sudan imewahukumu adhabu ya kifo maafisa 27 wa vikosi vya usalama kwa kumtesa na kumuua mwandamanaji mmoja wakati wa...
Mwandishi Stuart Laycock alifanya utafiti katika historia nzima ya dunia na kuja na kitabu kinachoitwa ‘All the Countries We've Ever Invaded: And the Few We Never Got Round To’.
Hiki kitabu...
Kombora la kwanza lenye teknolojia ya kisasa la Avangard Hypersonic limeanza kufanya kazi, wizara ya ulinzi ya taifa hilo imesema.
Hawakusema ni wapi kombora hilo lilifanyiwa majaribio lakini...
Mzuqa
Kundi la Kigaidi Somalia kupitia msemaji wake limeomba msaha kwa mlipuko wa bomu lililotegeshwa kwenye gari na kuua watu zaidi ya 80.
Alshabaab imedai imesikitishwa sana na kuwaomba ndugu...
Waziri wa zamani wa Sheria Cho Kuk ameshtumiwa kwa jumla ya makosa 11 yakiwemo ya rushwa, uzuiaji wa Biashara na kughushi nyaraka na madai mengine yanayohusiana na kashfa dhidi ya familia yake...
Installation of Officers for the 2020 year. This year marks the 190th anniversary of Harmony Lodge. Congratulations to all of the elected and appointed Officers.
Front Row
Chaplain - Brother John...
Waziri wa zamani wa Habari na Mawasiliano, Son Bac Nguyen amehukumiwa kifungo hicho huku aliyekuwa Naibu wake, Tuan Quoc Tran akihukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa makosa ya rushwa...
Nakwenda kwenye mada ni wiki mbili zimepita Rais Trump alisema serikali ya Burundi ni hatari kwa usalama wake , tamko hilo lilikanushwa na serikali ya Burundi kupitia msemaji wa serikali, sasa...
Polisi wa Nigeria wamevamia shule ya kidini na kuwaokoa wavulana 300 waliokua wamefungwa kwa minyororo kama watumwa na kulawatiwa kila siku huku wakipata mafunzo ya kidini...
Katika kuwalinda raia wake Ethiopia imeingia mikataba maalumu na mataifa ya kiarabu kurasimisha kazi za majumbani kwa raia hao
Katika kuzuia uhamiaji haramu Ethiopia imetuma maelfu ya wafanyakazi...
Hii inafaa kuwa funzo kwenye mataifa ambayo bado yanawalea "wasiojulikana", kwamba chini ya utawala mpya mambo hukengeuka na kibao kubadilshwa. Kule Sudan wamekusanywa 27 ambao walikua mashushushi...
The global music icon said he will start the tour in Ghana.
In an interview with Joy News, he explained that the aim of the tour is to project Africa and highlight the business opportunities in...
Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani.
hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa...
Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa.
Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza...
Huyu ni Fatmata, binti ambaye aliiba hela za shangazi yake ili kwenda Ulaya, maisha yalimsinda na akaamua kurudi kwao Siera Leone. Hiko ndio chanzo kikubwa cha yeye kutopokelewa kwa shangwe...
A SCIENTIST dubbed “China’s Dr Frankenstein”, who created the world’s first babies specially ”gene-edited” to prevent HIV infection, has been jailed for three years after being convicted of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.