Ni swali tu la kiuchokozi watanzania kutekwa na wasomali ikitokea je

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123
Kuna habari madaktar wawili wacuba wametekwa na wasomali wanaojiita alshabab jihadist.

Wakuba wana takribani madaktar 100 nchini kenya.

Watu hao inasaladikika wamehifadhiwa sehem salama watekaji wakidai dila bilioni moja na nusu.

Swali ninmoja tu, sio kwamba wa cuba ni matajiri sana. Lkn kwenye suala la utu lazima avuye hisia wasolv ishu na mumewe.

Hawa watekaji, je ikifika korogwe lkn ujie ?Kuhusu kikao sina haja na wanae wafanye wapendavyo
 
Back
Top Bottom