International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kanishka Narayan ameteuliwa kuwa Waziri wa Akili Bandia (AI) katika serikali mpya ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham. Katika nafasi hiyo, atahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri (Cabinet)...
1 Reactions
9 Replies
419 Views
Mke wa Rais wa Nigeria, Oluremi Tinubu, ametoa wito wa wazi kwa mastaa wakubwa wa burudani nchini humo akiwemo Burna Boy, Davido, na Asake, kutumia sehemu ya utajiri wao mkubwa kusaidia jamii...
1 Reactions
9 Replies
233 Views
Kwa sasa dunia inakoelekea kuzuri sana,yaani kule bahari ya shamu Houthi ukikatiza tu unapasuliwa na kule Homz Waajemi ukikatiza unapasuliwa. Waendelee hivihivi mpaka watambue kwamba Iran siyo...
8 Reactions
13 Replies
344 Views
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore amewataka wanafunzi waliokwenda kujifunza Sheria nchi Saudia Arabia kurejea nyumbani haraka. Wanafunzi watakao kaidi amri hiyo halali na...
30 Reactions
42 Replies
1K Views
Gazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua...
10 Reactions
16 Replies
549 Views
Breaking News: "Gbajabiamila Is Innocent" – Daddy Freeze, MC Ezzy and Other Nigerians React to New Developments Fresh developments have emerged in the controversy surrounding the alleged fake...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Kuna uwezekano Israel ikimuachia US apambane mwenyewe vita itakuwa kama ya Russia na Ukraine, haiishi ni milipuko tu ya kujibizana. Tofauti na Kama Israel ikiingilia kati. Huenda ndiyo sababu...
4 Reactions
11 Replies
325 Views
Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia...
3 Reactions
31 Replies
266 Views
Wanaukumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Arakçi: "Misri inatoza kati ya $200,000 na $700,000 kwa kila njia inayopitia Mfereji wa Suez; kwa meli kubwa za makontena au meli za mafuta...
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, kupitia msemaji wake Bayo Onanuga, ametangaza hatua hiyo kubwa ya kiusalama ikienda sambamba na juhudi zinazoendelea za kuajiri askari polisi. Amethibitisha ajira...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Ninaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo. Wakati huo huo, ving'ora vya...
2 Reactions
18 Replies
374 Views
Msanii wa India, PK Mahanandia, alikutana na Charlotte Von Schedvin katika jioni ya baridi mjini Delhi mwaka 1975, baada ya Charlotte kumwomba amchoree picha yake ya uso. Kilichoanza kama ombi la...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
  • Redirect
Nchi 125 Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York kupiga kura ya siri ya kuamua hatma ya...
1 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu mpya wa Uingereza aliyeapishwa hivi karibuni, Andy Burnham, ameidhinisha Marekani kutumia vituo vya kijeshi vya Uingereza kwa mashambulizi dhidi ya Iran, ikiwa ni mkakati wa kujihami...
2 Reactions
23 Replies
673 Views
Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
9 Reactions
40 Replies
905 Views
Shirkika la habari la Marekani - CNN limeripoti kwamba, bei ya mafuta imepaa kufikia $100 kwa pipa moja Hii ni baada ya Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis, kutangaza kufunga...
2 Reactions
7 Replies
212 Views
Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
3 Reactions
7 Replies
147 Views
Ndege ya shirika la Enugu Air iliteleza na kutoka nje ya barabara ya kurukia baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Benin siku ya Alhamisi, Julai 24. Tukio hilo lilisababisha taharuki miongoni...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Takriban watu 20 wameuawa baada ya magenge yenye silaha kuvamia vijiji vya Jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria, kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP. Mwakilishi wa Wilaya ya Sauna...
0 Reactions
3 Replies
87 Views
Back
Top Bottom