International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uhispania ilisherehekea ushindi wa kihistoria wa Kombe la Dunia, lakini zawadi yao ya dola milioni 50 inakuja na bili ya kodi huku Mamlaka ya Mapato ya Marekani (IRS) ikidai sehemu ya mapato...
2 Reactions
3 Replies
223 Views
Bunge la Ufaransa limepitisha sheria ya kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 15 kuanzia Januari 2027. Hatua hii inaifanya Ufaransa kuwa nchi ya kwanza...
1 Reactions
3 Replies
99 Views
Zimbabwe has secured duty-free access to the Chinese market for nearly 9,000 product categories under China's Pre-Early Harvest Initiative, a development expected to boost exports, attract...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon Chanzo cha picha,Getty Images Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imesema takriban wanajeshi 100 wa...
5 Reactions
11 Replies
385 Views
Moja ya kichekesho kikubwa ni pale ambapo Iran na Wafuasi wa Iran walikua wanaamini marekani Anaweza kuwaliopa Dola billion 300🤣🤣 Hapa niligundua Hawa watu Wana upeo mdogo sana. Kabisa Mlikua...
6 Reactions
36 Replies
745 Views
Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) imetaja pia raia kadhaa wa Kenya, Tanzania na Uganda ambao wanakabiliwa na hatua ya kuondolewa nchini Marekani. Orodha kamili pamoja na picha za...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hamas imetangaza rasmi kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama kiongozi mpya wa shirika hilo la kigaidi akimrithi marehemu Yahya Sinwar muasisi wa mauaji ya Oct 07,2023 huko Gaza na ambaye...
2 Reactions
9 Replies
154 Views
"Mimi ni Mwislamu, lakini kila mtu nchini Burkina Faso ana haki ya kufuata dini yake mwenyewe. Hakutakuwa na shariah law katika nchi hii. Kwa wale Waburkinabe wanaosoma sheria ya Sharia nchini...
43 Reactions
108 Replies
2K Views
Zimbabwe says it is earning significantly more from its mineral resources after introducing a ban on the export of unprocessed minerals, a move aimed at keeping more value within the country...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Mahakama nchini Ghana imemhukumu mwanasiasa mashuhuri wa upinzani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kumpata na hatia ya uchimbaji haramu wa madin, ikiwa ni kesi kubwa zaidi kuwahi kutolewa uamuzi...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili...
29 Reactions
83 Replies
2K Views
Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho...
4 Reactions
44 Replies
895 Views
Njama za Hezbollah kumuua mtoto wa Benjamin Netanyahu zagundulika na wahusika kukamatwa Namshukuru Mungu kwa mashirika ya ujasusi yaliyosimamisha njama hii dhidi ya mwana wa Waziri Mkuu wa...
4 Reactions
27 Replies
485 Views
Timu za madaktari wa China zimekuwa msaada mkubwa kwa afya ya jamii katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Katika nchi nyingi za Afrika, licha ya changamoto za lugha, madaktari hao...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa...
8 Reactions
16 Replies
411 Views
Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka...
7 Reactions
8 Replies
315 Views
Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni. Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado...
4 Reactions
19 Replies
420 Views
Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan Ving'ora vya kuashiria hatari...
4 Reactions
8 Replies
402 Views
Air Zimbabwe has taken a major step towards restoring its long-haul international operations after its Airbus A330-300 officially arrived at Robert Gabriel Mugabe International Airport ahead of...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Back
Top Bottom