International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington. Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa...
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye...
0 Reactions
9 Replies
270 Views
Kulia kupokezana,kutesa kwa zamu,ukikwaga ugali,namwaga mboga,ulikua hili wenzako wanajua lile. Marekani anajifanyaga anajua sana uhuni,kumbe Kuna wahuni kama yeye. Makao ya majasusi wa Marekani...
10 Reactions
75 Replies
2K Views
Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari. Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa...
0 Reactions
12 Replies
268 Views
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka...
3 Reactions
17 Replies
318 Views
Zimbabwe’s government is rolling out an ambitious agricultural mechanisation programme aimed at providing 35,000 tractors — one for each village in the country — to boost rural farming, increase...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
President Duma Boko highlighted major gaps in Botswana's medicine supply chain, including baby formula circulating in Zimbabwean markets despite local scarcity and 96 boxes of essential drugs...
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis imejibu mapigo baada ya jeshi la Saudia (akishirikiana na jeshi la Yemen linaloungwa mkono na UN) kufanya mashambulizi anga kwenye bandari ya...
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua rasmi chama chake kipya cha kisiasa kinachoitwa Republican Patriots, hatua inayodhihirisha rasmi kuvunjika kwa uhusiano wake na mshirika wake wa...
1 Reactions
15 Replies
289 Views
Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei. Je, ni kwani? Mpaka sasa...
2 Reactions
6 Replies
661 Views
This is Tanzania's first ever Tanzania Shilling Bond issued in an international stock market. But this isn't definitely IFC's first local shilling bond issuance. Here's what you have to know about...
1 Reactions
0 Replies
69 Views
Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
  • Redirect
Marekani ina upungufu mkubwa wa silaha kwa Sasa kuliko wakati wowote ule. sababu ni mbili TU. Sababu ya kwanza. kutuma silaha nyingi Ukraine kwenda kusaidia kuipiga Urusi. silaha ambazo kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Konfam FM 89.5 is currently one of the most talked-about radio stations in Nigeria—and for good reason. Barely one year after hitting the airwaves, the Lagos-based radio station has officially...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Watu zaidi ya 1,000 wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kulingana na takwimu rasmi. Hali hii inatokea huku wahudumu wa afya...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Gbajabiamila Defended Over Fake Agency Allegations, Questions Evidence Media personality Daddy Freeze publicly questioned the basis of allegations linking Chief of Staff Femi Gbajabiamila to a...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Nchi 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026, katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York kupiga kura ya siri kuhusu hatma ya...
1 Reactions
22 Replies
369 Views
⚠️picha⚠️ Magaidi 2 waliuawa katika shambulio lililolenga gari la magaidi kwenye mlango wa al-Zahra, kaskazini magharibi mwa kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza. Magaidi wa Hamas wanazidi...
2 Reactions
7 Replies
158 Views
Kanishka Narayan ameteuliwa kuwa Waziri wa Akili Bandia (AI) katika serikali mpya ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham. Katika nafasi hiyo, atahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri (Cabinet)...
1 Reactions
9 Replies
419 Views
Back
Top Bottom