Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40.
Marekani na Umoja wa Afrika...
Nov18 Lithuania iliidhinisha mamlaka ya Taiwan kuanzisha ofisi ya mwakilish wa Taiwan nchin Lithuania bila kujal upinzan wa China
Wizara ya mambo ya nje ya China imetoa taarifa ikisema hatua hii...
Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo.
Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo:
matumizi ya...
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya Corona. Hatua hiyo imechukuliwa leo wakati Kansela Angela Merkel anayekaimu serikali, akijiandaa...
Nchi ya Belarus inatmua maharamia kuidhofisha EU ikiwa na lengo la kujaza maharamia wengi sana kwa kuwasaidia kuzamia katika nchi za EU.
katika miezi ya hivi karibuni, maelfu ya watu wamesafiri...
Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka.
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban...
Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.
Kansela wa Austria Alexander...
Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19.
Zhang alisafiri kwenda Wuhan...
Marais wa dola mbili nguli wa siasa, uchumi na biashara, ulinzi na usalama; wenye nguvu za turufu duniani wamekutana kujadili mustakabali wa diplomasia baina yao zikiwemo agenda za mnyororo wa...
Mamlaka zimerejesha Huduma ya Intaneti takriban Mwezi mmoja tangu isitishwe baada ya Jeshi kuondoa Madarakani Serikali ya Mpito iliyokuwa inaongozwa na Raia.
Mahakama iliamuru Kampuni tatu kuu za...
Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta...
Mahakama ya Sudan imeamuru kurejeshwa mara moja kwa huduma za mtandao wa intaneti zilizokatwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi zaidi ya wiki mbili zilizopita.
Kwa mujibu wa wakili Abdelazim Hassan...
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Russia, sisitizo la kustawisha zaidi uhusiano na ushirikiano wa nchi mbili Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya mazungumzo ya simu na Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa...
Ujerumani hii leo imetangaza idadi ya juu kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona wakati ikipambana na wimbi la nne la maambukizi lililoibuka tangu mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Taasisi ya...
Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa...
Usiku wa siku kama ya leo miaka mitano iliyopita ndio ulikuwa wa mwisho hapa duniani kwa mtu aliyekuwa anatafutwa zaidi Osama bin Laden.
Aliyefanikisha mpango huu kwa sehemu kubwa kwenye kufichua...
Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi.
Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba...
Vikosi vya usalama nchini Sudan wamewauwa waandamanaji 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa baada ya kutumia risasi za moto kuyakabili makundi ya watu waliokusanyika kupinga hatua ya jeshi kunyakua...
Wale wanazi wa F35, njooni hapa
====
Ndege ya kivita ya Uingereza F-35 imeanguka baharini wakati wa operesheni ya kawaida katika bahari ya Mediterania, Wizara ya Ulinzi imesema.
Rubani...